vifurushi na bei zake4g yenye kasi ...siyo 4g jina ila kubwa kuliko Ni vifurushi vyao
Halotel kifo kinawanyemelea maana ni majambaziHizo ni gear tu. Halotel walianza hivyo hivyo karidi siku zinavyosogea wanaendelea kumega taratibu mpaka watakuwa sawa na tigo na voda
Kumbuka hawa hawa Tigo na Vodacom wanawatumia wafanyakazi Wa TTCL kwa kuwaonga kuhakikisha TTCL aisimami ili waweze kufanya biashara apa Tanzania.Niliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao. Hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!
Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!
But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2008 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.
Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!
X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale wanapiga usingizi!
Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa kama sio mwaka!
Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye droo na kuhamia kwenye bundle nafuu!
Tena kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu!
Kama ndivyo, basi wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!
TTCL wakiachiwa wajidai na wakapata aggressive sales management team; hawa akina Vodacom cjui Tigo na wenzao wote lazima waombe poo!!
TTCL ni nzuri, packages zao nzuri....reasonable for a common man lakini problem nime experience hata nikaitupa chip yao ni kuwa available within city vicinity only.Anhaa! Nishajua jinsia yako.
Sasa unafikiri nani hajui izo statistics zako?
Weka hoja na chambua sio unaleta frechentonix hapa.
Sasa kama ttcl ndio mmiliki wa mabomba ya maji na hao wengine wanakodi mabomba kutoka kwake ili wasambaze maji inawezekana vipi mmiliki wa bomba akae foleni mkuu.Niliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao. Hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!
Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!
But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2008 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.
Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!
X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale wanapiga usingizi!
Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa kama sio mwaka!
Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye droo na kuhamia kwenye bundle nafuu!
Tena kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu!
Kama ndivyo, basi wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!
TTCL wakiachiwa wajidai na wakapata aggressive sales management team; hawa akina Vodacom cjui Tigo na wenzao wote lazima waombe poo!!
Halotel walianza vizur Sana lakini Sasa ni shidaHizo ni gear tu. Halotel walianza hivyo hivyo karidi siku zinavyosogea wanaendelea kumega taratibu mpaka watakuwa sawa na tigo na voda
Ni ngumu kidogo maana kuna matatizo Mawili yanaikabili TTCL kama public institution 1. Ni lazima wafuate bureaucracies za Serikali na hivyo lazima wenzao wawe mbele kila wakati na 2. Wakiachiwa wafanye wanachotaka utashangaa shirika litakufa kwa kuweka tariffs ndogo na Wafanyakazi wakawa ni wakala wa kusambaza hivyo Wafanyakazi wakanufaika na shirika kukosa mapato. Watanzania hatubebekiUmemaliza kila kitu mkuu umeongea ukweli mtupu. I hope management y ttcl waone hii.