Miss Halima
Senior Member
- Aug 4, 2026
- 194
- 415
Alipokataa kutoa tunda Kwa namfungulia dunia nafasi yake ikachukuluwa na yule ambaye baada ya msiba alimrudia x wakeWengine wanasema anguko lake lilianzia alipojaribu kuivimbia ile media iliyosifika enzi hizo kwa kuteka soko la burudani iliyokuwa na tamasha la kuzunguka mikoa yote nchi baada ya kukataa kupewa dau dogo.
Hapo ndipo wakaazimia kumpoteza mazima na kumpandisha yule binti ambaye kwasasa ni mke wa mtu na kwenye msiba alisimama kama mjane wa jamaa aliyefia nje ya nchi na kwenda kuzikwa kwenye migomba. Huyu binti kwa hakika alifanikiwa kuwasahaulisha kabisa mashabiki juu ya habari za Ruby.
Wala haijaanzaduh,, mbona story haijaisha sasa
Aliambiwa, "Kuwa unachotaka", yeye akajifanya kuwa na msimamo.Alipokataa kutoa tunda Kwa namfungulia dunia nafasi yake ikachukuluwa na yule ambaye baada ya msiba alimrudia x wake
Yeah system ili mfuckWengine wanasema anguko lake lilianzia alipojaribu kuivimbia ile media iliyosifika enzi hizo kwa kuteka soko la burudani iliyokuwa na tamasha la kuzunguka mikoa yote nchi baada ya kukataa kupewa dau dogo.
Hapo ndipo wakaazimia kumpoteza mazima na kumpandisha yule binti ambaye kwasasa ni mke wa mtu na kwenye msiba alisimama kama mjane wa jamaa aliyefia nje ya nchi na kwenda kuzikwa kwenye migomba. Huyu binti kwa hakika alifanikiwa kuwasahaulisha kabisa mashabiki juu ya habari za Ruby.
Dj Majizo alifosi kuitafuna ikamgomea.
Ruby anamsimamo kama mlingoti wa chuma
Mbona mnaandika kama vile alifanya kitu kibaya na anatakiwa kujuta? Kama alikataa kujidhalilisha utu wake kwa kutumikishwa kingono kisa apate umaarufu, akalinda heshima yake na kusimamia haki ya kipaji chake basi huyu binti ni shujaa; na ni mfano wa kuigwa. Mungu Ambariki na Azidi kumwongoza 🙏🏿Alipokataa kutoa tunda Kwa namfungulia dunia nafasi yake ikachukuluwa na yule ambaye baada ya msiba alimrudia x wake
Angewacheki Best Naso na Ney wa Mitego wamuunge chama lao la chaka tu chaka😂😂. Hits anazo. Huko asingekosa hela ya kula.
Wengine wanasema anguko lake lilianzia alipojaribu kuivimbia ile media iliyosifika enzi hizo kwa kuteka soko la burudani iliyokuwa na tamasha la kuzunguka mikoa yote nchi baada ya kukataa kupewa dau dogo.
Hapo ndipo wakaazimia kumpoteza mazima na kumpandisha yule binti ambaye kwasasa ni mke wa mtu na kwenye msiba alisimama kama mjane wa jamaa aliyefia nje ya nchi na kwenda kuzikwa kwenye migomba. Huyu binti kwa hakika alifanikiwa kuwasahaulisha kabisa mashabiki juu ya habari za Ruby.
HahahahaaaaKama alilala kwenye kibaraza cha Mondi hakubaki salama
So what????
Aisee! basi Mabinti wengi wamekanyaga waya wenye umeme, maana mzee wa Matalent amewatafuna hasa.Kwani uongo? Ni kweli, Ruby alimkataa Ruge na hiyo yote kuogopa ukimwi.