Rubi yupo wapi siku hizi?

ruby ana kipaji kikubwa kuliko Nandy ila figisu figisu tu zimempoteza
Huwezi kula na kujisaidia kwenye sahani unayolia kwa wakati mmoja ukategemea utaendelea kula.
Vipi sasa kipaji chake kimepotea?
Kuna kipindi alikuwa anafanya tour kwenye tvs ana redios kupromote nyimbo zake lakini wapi..
Ana kipaji ila nyimbo alikuwa naandikiwa na hao product za THT sasa sijui kukorofishana na mawingu wameacha mwandikia
 
Pole yake bibie ...alitukana mamba angali hajavuka MTO ..naona mawingu waliamua kufuta kila kitu chake had jingles alizokua amefanya!
 
Back
Top Bottom