Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Yule ni mtoto wake. Kaburi la mbele yao ndio la George. Alifariki 2008.Kuna Mazula mmoja kaburi lake liko Kinondoni pamoja na la mkewe yametengenezwa kwa slab (very nice)
Yule ni mtoto wake. Kaburi la mbele yao ndio la George. Alifariki 2008.Kuna Mazula mmoja kaburi lake liko Kinondoni pamoja na la mkewe yametengenezwa kwa slab (very nice)
capt mazula hakuhusika na utekaji..mtekaji ni wakili msomi yasin memba na wenzieNdege ya ATC ilitekwa kwa mabomu na pistol za mbao, seriously. Captain na crew yake walitaka kwenda London, na siyo kwamba walihofia maisha yao. Baada ya kufika London, hakuna abiria waliyoomba hifadhi ya kisiasa zaidi ya Watekaji?
Najua, lakini kuamrishwa kwenda London na mabomu ya mbao, Captain, crew na abiria vidume vyote walifurahia kisirisiri. Yasin Memba na wenzake walikuwa vijana wamekondeana ingekuwa rahisi kuwatia nguvuni. Nina uhakika hakuna abiria hata mmoja aliyepata lifelong trauma kutokana na mkasa ule.capt mazula hakuhusika na utekaji..mtekaji ni wakili msomi yasin memba na wenzie
Duh umenikumbusha mbali sana,hivi hizi Zepha 6 bado zipo sokoni kweli...?Mkuu Paskal, kuna mambo ya zamani ukiyakumbuka unabaki kufurah…enzi za “nenda kwa singasinga ndo utapata spare hii” huwa sisahau huu msemo maarufu wa mzee wangu hapo akinutuma kununua spare ya Bedford au Zepha 6!
Umemsahau KIDA mkuu,kulikuwa kuna Benzi yao moja matata sana ilikuwa inapaki kwenye duka lao pale karibu na clock tower...Enzi hizo Waswahili wenye Benzi wanahesabika!. Mimi nawakumbuka Benzi ya Mzee Lupembe, Benzi ya Obed Katikaza, Benzi ya Dr. Mtawali. Benzi ya Dr. fulani Changombe. Tajiri mmoja akiitwa Mgaya yeye ndio alikuwa ana Range!.
P
Kumbe tuko watu wakongwe na washauri humu ndani heshina yako mzee wanguWalikuwa ni mtu na kaka yake, na wote brand cars zao zilikuwa ni Volvo, enzi hiyo mawaziri gari zao zikiwa ni Pegeot 504 number zikiwa STC na STD!. Gari za polisi zilikuwa Landrover 109, na escort ya Nyerere ilikuwa Peogeot 404. Benzi yenyewe ya Nyerere naomba nisiseme, ila kulikuwa na mhindi tajiri kwa jina la Lord Rajipar, akaleta Benz kali kuliko ya Rais, S Class 500 miaka hiyo!. alitiwa ndani kwa uhujumu!.
Rip Capt. Mazula umetukumbusha mbali!.
P
Niliona moja Arusha kwa singa mmoja yupo pale njiro,ukiacha hapo sijawah iona popote tena karibuni…..nadhan ile kampuni imekufaDuh umenikumbusha mbali sana,hivi hizi Zepha 6 bado zipo sokoni kweli...?
Pumzika kwa AmaniView attachment 2076364
Rubani wa Ndege iliyotekwa mwaka 1982 na vijana waliokuwa wakishinikiza Mwalimu Nyerere ajiuzulu, amefariki dunia.
Capt Deo Mazula alifariki tarehe 6 Januari 2022 na Kesho (Januari 11, 2022) anatarajiwa kuzikiwa jijini Arusha katika Makaburi ya Njiro.
Unaweza kusoma kuhusu kisa cha kutekwa kwa ndege hii, hapa Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?
Nimeingia mtandaoni hizi gari kumbe zipo,ni product ya gari za Ford,hii hapa ni Zephyr ya 2020Niliona moja Arusha kwa singa mmoja yupo pale njiro,ukiacha hapo sijawah iona popote tena karibuni…..nadhan ile kampuni imekufa
Na ndugu yao mwingine alikuwa Captain wa MV Bukoba 1980sAsante kwa taarifa hii, tulikuwa tunakaa nae mtaa mmoja Drive In Flats, na mdogo wake pia alikuwa Pilot wa ATC.
Rip Capt. Mazula.
P
Najua, lakini kuamrishwa kwenda London na mabomu ya mbao, Captain, crew na abiria vidume vyote walifurahia kisirisiri. Yasin Memba na wenzake walikuwa vijana wamekondeana ingekuwa rahisi kuwatia nguvuni. Nina uhakika hakuna abiria hata mmoja aliyepata lifelong trauma kutokana na mkasa ule.
Nimeingia mtandaoni hizi gari kumbe zipo,ni product ya gari za Ford,hii hapa ni Zephyr ya 2020 View attachment 2076658View attachment 2076665
Kwa msaada wa Google, Kwa wale wasioijua Zephyr 6 angalia hapaNimeingia mtandaoni hizi gari kumbe zipo,ni product ya gari za Ford,hii hapa ni Zephyr ya 2020 View attachment 2076658View attachment 2076665
Punzika kwa Amani captView attachment 2076364
Rubani wa Ndege iliyotekwa mwaka 1982 na vijana waliokuwa wakishinikiza Mwalimu Nyerere ajiuzulu, amefariki dunia.
Capt Deo Mazula alifariki tarehe 6 Januari 2022 na Kesho (Januari 11, 2022) anatarajiwa kuzikiwa jijini Arusha katika Makaburi ya Njiro.
Unaweza kusoma kuhusu kisa cha kutekwa kwa ndege hii, hapa Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?
Zamani Taifa lilikuwa kweli na vijana..
RIP Capt Mazura..
Yes ni kweli nilimsahau Kida na duka lao la KAI. Baada ya Nyerere kustaafu ile 1985 ile Benzi yake akauziwa MwangotaUmemsahau KIDA mkuu,kulikuwa kuna Benzi yao moja matata sana ilikuwa inapaki kwenye duka lao pale karibu na clock tower...
Duu umenikumbusha watoto wazuri wakishua Judica Kida na wadogozakeYes ni kweli nilimsahau Kida na duka lao la KAI. Baada ya Nyerere kustaafu ile 1985 ile Benzi yake akauziwa Mwangota
P
WEWE UNADHANI KWENYE UBUNGE WATU HAWATUMII AKILI? Sasa wewe mwenye akili kuna marubani wangapi kwenu?Huna akili,hao wamepambana kwa akili zao sio vyeo vya kuteuana hata kama kichwani ni empty set