Tatizo ni moja tu. Yawezekana kabisa hiyo siyo sababu sahihi. Unapotoa hitimisho hilo bila hata kukusanya ushahidi inaonyesha kana kwamba ulikuwa na taarifa kabla ya tukio.Sasa kama tukio chanzo chake kimekuwa rahisi kujulikana kisitajwe kisa kuna matukio yamekaa muda mrefu? Au taarifa zinapaswa kutolewa kwa mtindo wa first tukio first out?