RPC wa Morogoro, Matei achunguzwe juu ya kauli yake kuhusu sababu ya mauaji ya kinyama ya diwani

Inashangaza uchunguzi uliofanywa na wahusika hamtaki mnataka majibu yenu kichwa haya kachungeze wew alafu hyo riport uumpe chombo kingne cha ufipa chenye zaman ya kama ya jeshi la police sio kila jambo mnaliweka kisiasa hii itavuruga nnchi
Acha kuhemkwa. Maneno yooote hayo ni sentensi moja tu. Hariri halafu acha chuki. Utazeeka vibaya kama bibi asiye na bwana.
 
Harafu mkiambiwa vyuo vyenu vikuu Elimu imeshuka sana mnakataa sana...hayo mauaji uchunguzi Massa machache majibu yamepatikana hakuna kitu kama hicho...
 
Nimemsikiliza huyu mkuu wa jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro akizungumzia mauaji ya kishenzi ya Diwani wa Chadema , kiukweli sijaridhika kabisa na maelezo yake .

Eti anahusisha kifo cha diwani wa Chadema na mgogoro wa mashamba ! Ni porojo za kiwango cha chini sana !

Nasema wananchi wamchunguze wenyewe kwa sababu si rahisi kesi ya nyani ukampelekea ngedere na ukapata haki , hakuna tena imani yoyote kwa jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa jambo hilo baada ya RPC Kuonyesha wazi kukifahamu chanzo cha mauaji hayo , amejuaje ? Je kuruta anaweza kuja na majibu tofauti na bosi wake ?
Kwanza nitoe pole kwa ndugu wa marehemu diwani, kijana, mtanzania halisi, baba wa familia kwa kifo kile cha kinyama na cha kulaaniwa kwa kila binadamu hata kama si mtanzania ni kitendo cha kulaaniwa sana sana.
Pili nirudi kwako ww unaelalamika hapa badala ya kutoa taarifa ya unachokijua kuhusu mauaji yale ya kinyama na sio kusema anachosema R.P.C Morogoro sio chenyewe sasa ww kama unakijua kwann ukae nacho moyoni pasipo kutoa taarifa kwa mamlaka husika??? Tatu nikufahamishe tu kuruta hawezi kufanya uchunguzi kwa kua kuruta bado yuko mafunzoni ( R.T.S) hajala kiapo bado sasa uwe unasema unayoyajua sio kukurupuka kwa fani isiyokuhusu
 
Kwa hiyo hao wanaogombania mashamba na kumuua diwani rpc keshawakamata? Ila hatuna wa kumlaumu kwa sasa sii Mungu wala shetani.
Tulijiingiza wenyewe choo cha jinsia tofauti 2014 november. Taifa linaugua linalia machozi kwa jinsi linavyoona likielekezwa njia ya Kongo dr, Rwanga ya mauaji ya kimbari, somalia ya kusini na nyinginezo kama hizo.
 
Kwanza nitoe pole kwa ndugu wa marehemu diwani, kijana, mtanzania halisi, baba wa familia kwa kifo kile cha kinyama na cha kulaaniwa kwa kila binadamu hata kama si mtanzania ni kitendo cha kulaaniwa sana sana.
Pili nirudi kwako ww unaelalamika hapa badala ya kutoa taarifa ya unachokijua kuhusu mauaji yale ya kinyama na sio kusema anachosema R.P.C Morogoro sio chenyewe sasa ww kama unakijua kwann ukae nacho moyoni pasipo kutoa taarifa kwa mamlaka husika??? Tatu nikufahamishe tu kuruta hawezi kufanya uchunguzi kwa kua kuruta bado yuko mafunzoni ( R.T.S) hajala kiapo bado sasa uwe unasema unayoyajua sio kukurupuka kwa fani isiyokuhusu
Hata ukiandika andiko refu, kwani hawezi kudanganya huyo Mambosasa?
 
Mhhh..........Sasa kama haujaridhika mimi nakushauri Mwambie Dada Mange aunde Tume Huru ya Uchunguzi.
Huwa nawashangaa sana watu mnaojifanya mna nyodo sana na kejeli kwa wengine,
Ili hali na nyie mna nyama na damu na pia mna ndugu,
Huwezi kula muwa bila kukutana na fundo,nadhani siku hiyo ndio utakuja kujua namaanisha nini
 
Nimemsikiliza huyu mkuu wa jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro akizungumzia mauaji ya kishenzi ya Diwani wa Chadema , kiukweli sijaridhika kabisa na maelezo yake .

Eti anahusisha kifo cha diwani wa Chadema na mgogoro wa mashamba ! Ni porojo za kiwango cha chini sana !

Nasema wananchi wamchunguze wenyewe kwa sababu si rahisi kesi ya nyani ukampelekea ngedere na ukapata haki , hakuna tena imani yoyote kwa jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa jambo hilo baada ya RPC Kuonyesha wazi kukifahamu chanzo cha mauaji hayo , amejuaje ? Je kuruta anaweza kuja na majibu tofauti na bosi wake ?
Akili yako haina akili,
 
Huyu diwani wamashambani huko hana athari yoyote kisiasa, tatizo wenzie lazima wanalijua, kama sio dhuluma za mashamba itakuwa wivu wa kimapenzi tu.
 
Nimemsikiliza huyu mkuu wa jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro akizungumzia mauaji ya kishenzi ya Diwani wa Chadema , kiukweli sijaridhika kabisa na maelezo yake .

Eti anahusisha kifo cha diwani wa Chadema na mgogoro wa mashamba ! Ni porojo za kiwango cha chini sana !

Nasema wananchi wamchunguze wenyewe kwa sababu si rahisi kesi ya nyani ukampelekea ngedere na ukapata haki , hakuna tena imani yoyote kwa jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa jambo hilo baada ya RPC Kuonyesha wazi kukifahamu chanzo cha mauaji hayo , amejuaje ? Je kuruta anaweza kuja na majibu tofauti na bosi wake ?
Ni kauli ya bahati mbaya sana. Alikurupuka sana kuanza kuhitimisha hata kabla ya kuchunguza. Ikiwa kweli kauli yake marehemu aliyoisema kwenye mikutano ya hadhara ndiyo kisababishi kikuu cha kuuawa basi ni bora sana viongozi wengi wakuu wa serikali wakamatwe. Kwa sababu viongozi hao wamekuwa na kauli nyingi chonganishi ambazo pengine ndizo sababu ya chuki kwa viongozi wote wa upinzani hadi kushambuliwa.

Mfano mmoja tu unapomwita msaliti mpinzani wako kwa sababu tu ametoa maoni kinyume na yako na kutishia ni jinsi gani msaliti katika vita ufanywa ina tofauti gani na hiyo ya huyo marehemu diwani kwa wananchi wake.

Polisi jiadharini na kauli zenu katika matukio haya tatanishi. Ninyi ndiyo wapelelezi ambao mnatakiwa kutoa na kutafuta ukweli.
 
Hivi RPC ana kinga ya kutoburuzwa mahakamani ?
 
Back
Top Bottom