RPC wa Morogoro, Matei achunguzwe juu ya kauli yake kuhusu sababu ya mauaji ya kinyama ya diwani

Acheni kutisha watu na kutumia mbinu za enzi ya kikwete kumwaga sumu
Diwani wakati anaongoza wananchi wake kwenye mgogoro waardhi aliwahi kusem Eryhrocyte ni kikwazo akifa yeye tu,tunapata ardhi yetu,na kweli baada ya siku mbili Erythrocyte aliuawa kwa kukatwa mapanga.
Kauawa diwani,police science inaelekeza kuangalia kama marehemu alikua na ugomvi na lazima itakupeleka kwenye kauli yake
Chadema mnaongizwa na mihemko tu
professionally, yeye kama askari ambaye ameshakuwa mpelelezi kwa miaka mingi, hakutakiwa kutoa conclusion right from the same day, alitakiwa kusema upelelezi unaendela tutatoa jibu na tutafanya lililo ndani ya uwezo wetu kukamata wahalifu. akitoa conclusion hiyo alafu upelelezi ukaja au wananchi wakawa na vivid examples za ushahidi kinzani yeye atatakiwa kuwekwa fungu gani? na wananchi siku hizi wanatunza ushahidi balaa, hata kama tukio lilitokea usiku, inaweza kuja story ingine hapa ukaona ina mashiko kuliko hii ya kwake. angesubiri kwanza, ndiu busara inavyoelekeza, nafikiri hicho ndicho watu wanajaribu kuchallenge.
 
Haya mambo huwezi kuelewa mpaka siku achinjwe mama yako .
Acheni kutisha watu na kutumia mbinu za enzi ya kikwete kumwaga sumu
Diwani wakati anaongoza wananchi wake kwenye mgogoro waardhi aliwahi kusem Eryhrocyte ni kikwazo akifa yeye tu,tunapata ardhi yetu,na kweli baada ya siku mbili Erythrocyte aliuawa kwa kukatwa mapanga.
Kauawa diwani,police science inaelekeza kuangalia kama marehemu alikua na ugomvi na lazima itakupeleka kwenye kauli yake
Chadema mnaongizwa na mihemko tu
 
Mhhh..........Sasa kama haujaridhika mimi nakushauri Mwambie Dada Mange aunde Tume Huru ya Uchunguzi.

Tatizo lako unapotumia mnduku kutoa maoni yako haya ndio matokeo yake

Badala ya kupigania umoja , usawa na mshkamano unaleta habari za kichoko
 
Humu kuna utoto kweli kweli. Siyo kila mtu analingana nanyi. You need to be serious.
Achana na mm ww utoto unanijua mm?? Au unaangalia ninacho andika ndio unanichukulia kirahisi...kua na jicho la mbali zaidi maana usiwe unapotezwa ramani kwa kuangalia hichi kinachoandikwa ukanipimia hahaaa. Niko serious kuliko unavyojua..kua na jicho zaidi ya unachosoma maana sio ukisikia sauti ya kitoto ukajua mtoto kweli ukamfata na fimbo ila baada ya kufungua unakutana uso kwa uso na RPG lazima uanguke kwa pressure.
 
Huo ndio utoto wenyewe. Unafikiri kushika RPG au BM 21 ndiyo kuwa mkubwa! I am not going to continue arguing with you.
 
Kamanda wa JW akijasema kitu labda nitàelewa lakini hawa RIP Sijui RP NINI Sijui yaan hata kudanganya hawajui tatizo wanamezeshwa majibu na akati hiyo sio kazi yao hovyo kabisa usikute yeye ndio mchoraji
 
Back
Top Bottom