RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

Hahahahaha CCM pamoja na Polisi wao wamenaswa kwenye huu mtego, lengo haikuwa kuzuia mkutano in such but kupata uthibitisho tu! Now wameshaweka records sawa, kuwa kweli kuna upendeleo, hili ndilo lilikua linatafutwa jamaa. Kwahio mmeshakamatwa mtulie tu
 
Ni nani alikwambia Dunia inajali kama sijui chadema au ukawa akifurumushwa? Nyie Binadamu mtaacha lini kujidanganya? Nje ya Kimara, KLM na Arusha City hakuna binadamu anayejishughulisha na chadema Dunia hii wala hata anayejali kama ipo au haipo!



Wewe una tengeneza ukanda then mwisho wa siku hata wewe utakutafuna kama si ww hata mwanao be careful
 
Kwani vyombo vya dola vinatumika vibaya? Kwa nini wengine wazuiwe alafu majipu yanaruhusiwa.
 
Ni nani alikwambia Dunia inajali kama sijui chadema au ukawa akifurumushwa? Nyie Binadamu mtaacha lini kujidanganya? Nje ya Kimara, KLM na Arusha City hakuna binadamu anayejishughulisha na chadema Dunia hii wala hata anayejali kama ipo au haipo!
Huku hatuna ututsi wala uhutu.

Mara ya mwisho uliwatembelea lini?
 
Kwa kweli cdm wana akili sana na mijipu ilvyo mijinga imejiingiza kichwakichwa. Bavicha kusema tu wanaenda dom kuzuia mkutano mipolisi yote kama yamekurupushwa kwa matamko.
 
Mbona twapoteza muda kujadili "udaku"! Naamini siyo kweli BAVICHA wanapanga kuzuia mkutano wa CCM halali utakaofanyika Jul, hii.

Anayeweza kuzuia vikao halali vya chama cha cha siasa, ni wanachama wenyewe, wajumbe wa vikao hivyo, kwa mjibu wa katiba ya chama husika.
 
Sio sababu ya UKAWA kuzuia mkutano wa CCM huku ni kutafuta ugomvi,wangeweza kuwaita waandishi wa habari na kutoa press release ambazo zingesambaa kwenye mitandao,redio television na magazeti.Nafikiri kwa namna Fulani wangekuwa wameifikia jamii kubwa.
Kwenda kufanya fujo ni kuwapa nafasi na sababu ya CCM kuongea.
Ni heri viongozi wa Ukawa wakafikiri kwa upya kabla ya kupeleka hao vijana 2000 Dodoma.
 
Ni nani alikwambia Dunia inajali kama sijui chadema au ukawa akifurumushwa? Nyie Binadamu mtaacha lini kujidanganya? Nje ya Kimara, KLM na Arusha City hakuna binadamu anayejishughulisha na chadema Dunia hii wala hata anayejali kama ipo au haipo!
Umetisha mkuu...Hivi jiji la Mbeya na Manispaa ya Iringa wao wapo upande gani...
Ni vizuri watanzania tukaongea siasa za hoja zenye nguvu badala ya kuanza kuongea hoja zenye chembechembe za ukanda, ukabila na udini..hizo hoja zako hazina nafasi kwa Tanzania ya leo..
 
Yani POLISI wanataka wafanye mkutano wao kujadili mambo ya kiintelijensia na ikiwezekana apatikane mwenyekiti mwingine, chadema wanataka kuzuia!?!?
Aisee!
 
Kutaka kuidhibiti CCM ni kutaka kumzuia Rais kuleta maendeleo....

Lakini kweli raisi anatekeleza sera ya chama tawala. Ukawa mnalijua hilo? Mwenye nguvu mpishe ukishindana mtaumia. Jipangeni kwa kampeni ya 2020 kwa sasa acheni nchi isonge mbele si mnaona jitihada za mheshimiwa mkuu wa nchi zinatia nia na matumaini ya kufika tunakotaka(asali na maziwa)
 
In Lissu voice, hii sio haki.

Shaka pia amedai wako fiti kuwakabili bavicha. kwaio polisi + ccm they talk in one voice hii imekaaje???

chanzo: majira
In Lissu voice, hii sio haki.

Shaka pia amedai wako fiti kuwakabili bavicha. kwaio polisi + ccm they talk in one voice hii imekaaje???

chanzo: majira
chadema fanyeni kazi muinue kipato chenu acheni kutafuta kesi
 
hapo ni sawa sawa na kama yule jamaa aliyeoeleka zuio feki kwenye uchaguzi wa meya Dar,mpaka sasa bado anapeta
 
Ukitaka kuzuia ccm ni kama.unataka kuzuia gharika na ndoo ya plastic , utasombwa , ww ccm ni chama tawala ,nchi inatekeleza ilani ya ccm sasa ww na kabavicha kako ni kama kilabu ya ulabu utashindana na chama tawala?
Huo ni ushabiki usiondoke na maana.iweje wapinzani waki taka kufanya mikutano wanazuiwa??
 
Jamani kuna mambo ya kupigia kelele lakini siyo mkutano wa CCM pale kuna uchaguzi ndani ya chama kwa hiyo ukilinganisha na mikutano ya wanasiana siyo haki ni kweli Vyana vingine vitasikia vibaya kuwa kwanini katazo la rais CCM wao wanaendelea lakini hiyo iko sawa ccm ndiyo chama kinachoongaza nchi kwa sasa kwa hiyo ukipambana nacho utaumia wewe mimi nawaomba BAVICHA wasije kujaribu kuharibu mkutano maana pale rais atakuwa yupo wao wakae waanze nawao mikutano yao siyo kwenda kumpinga rais wa nchi aliyechaguliwa na wananchi hiyo nina imani wanajisumbua
Kwa hiyo kuanzia siku hiyo vyama vinaruhusiwa kufanya siasa ndani na nje ya ofisi zao??
 
Back
Top Bottom