RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

Ni nani alikwambia Dunia inajali kama sijui chadema au ukawa akifurumushwa? Nyie Binadamu mtaacha lini kujidanganya? Nje ya Kimara, KLM na Arusha City hakuna binadamu anayejishughulisha na chadema Dunia hii wala hata anayejali kama ipo au haipo!
Mgombea wa Chadema alipata kura ngapi na wabunge wote wa CDM wametoka Arusha KLM na Kimara tuu?
Kichwa kitumike zaidi ya kufugia nywele
 
Back
Top Bottom