RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

Ukitaka kuzuia ccm ni kama.unataka kuzuia gharika na ndoo ya plastic , utasombwa , ww ccm ni chama tawala ,nchi inatekeleza ilani ya ccm sasa ww na kabavicha kako ni kama kilabu ya ulabu utashindana na chama tawala?
 
Hakuna haja ya BAVICHA kujipanga na kwenda kujaribu kuuzuia mkutano wa CCM. Hii ni kuingia ''vitani'' huku unajua fika utashindwa vibaya. Dawa sasa ni UKAWA kujipanga kuendelea na ile mikutano waliyoipanga kuanzia siku hiyo ambapo CCM wanafanya mkutano wao maana by default lile tangazo la police la kuzuia mikutano litakuwa limeexpire (Intelijensia imegundua mambo yako OK)
 
In Lissu voice, hii sio haki.

Shaka pia amedai wako fiti kuwakabili bavicha. kwaio polisi + ccm they talk in one voice hii imekaaje???

chanzo: majira

Inawezekana ikawa ni jumuia moja wapo ya chama
 
Nchi sasa imeongeza sheria uch.........ra, na ndio inayo endesha nchi.
 
Hakuna haja ya BAVICHA kujipanga na kwenda kujaribu kuuzuia mkutano wa CCM. Hii ni kuingia ''vitani'' huku unajua fika utashindwa vibaya. Dawa sasa ni UKAWA kujipanga kuendelea na ile mikutano waliyoipanga kuanzia siku hiyo ambapo CCM wanafanya mkutano wao maana by default lile tangazo la police la kuzuia mikutano litakuwa limeexpire (Intelijensia imegundua mambo yako OK)
Ni kweli kabisa. Inatakiwa na wao CHADEMA waanze mikutano siku hiyo hiyo badala ya kuzuia ule wa CCM. Tena na wao wangefanya mkutano wao huko huko Dodoma na sehemu nyingine nyingi
 
Kwa
Ukitaka kuzuia ccm ni kama.unataka kuzuia gharika na ndoo ya plastic , utasombwa , ww ccm ni chama tawala ,nchi inatekeleza ilani ya ccm sasa ww na kabavicha kako ni kama kilabu ya ulabu utashindana na chama tawala?
hisani ya intelijensia uchwala ya policcm
 
Back
Top Bottom