RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

Jamani kuna mambo ya kupigia kelele lakini siyo mkutano wa CCM pale kuna uchaguzi ndani ya chama kwa hiyo ukilinganisha na mikutano ya wanasiana siyo haki ni kweli Vyana vingine vitasikia vibaya kuwa kwanini katazo la rais CCM wao wanaendelea lakini hiyo iko sawa ccm ndiyo chama kinachoongaza nchi kwa sasa kwa hiyo ukipambana nacho utaumia wewe mimi nawaomba BAVICHA wasije kujaribu kuharibu mkutano maana pale rais atakuwa yupo wao wakae waanze nawao mikutano yao siyo kwenda kumpinga rais wa nchi aliyechaguliwa na wananchi hiyo nina imani wanajisumbua
 
Nchi masikini,watu masikini uwezo pia wa kufikiri wa kimasikini....
 
  • Thanks
Reactions: 999
In Lissu voice, hii sio haki.

Shaka pia amedai wako fiti kuwakabili bavicha. kwaio polisi + ccm they talk in one voice hii imekaaje???

chanzo: majira
CHADEMA/UKAWA HIVI SASA KAMA WAPO JEHANAMU WANAUNGUZWA NA MOTO.
 
Hakuna haja ya BAVICHA kujipanga na kwenda kujaribu kuuzuia mkutano wa CCM. Hii ni kuingia ''vitani'' huku unajua fika utashindwa vibaya. Dawa sasa ni UKAWA kujipanga kuendelea na ile mikutano waliyoipanga kuanzia siku hiyo ambapo CCM wanafanya mkutano wao maana by default lile tangazo la police la kuzuia mikutano litakuwa limeexpire (Intelijensia imegundua mambo yako OK)
Hawatakosa sababu labda washikwe na aibu au wasutwe na dhamira. Lakini watoe taarifa wafuate sheria halafu tuwaone watasimamia wapi.
 
Watu wanatengeneza uasi kimya kimya kwa kuchukulia kwamba suala la kuwanyanyasa chadema na mikutano yao ni haki ila kwa ccm hakuna wa kuizuia, ipo siku kitanuka tu.
 
Unwezaje kufananisha kutaniko kuu la Chama kinachounda serikali na mkutano wa kampeni zenye matusi?

JIONGEZENI !

KAMA VIPI NA CHADEMA IITISHE MKUTANO MKUU AMBAPO MBOWE ATAKABIDHI KITI MUONE KAMA HAMTARUHUSIWA KUFANYA.
 
Jamani kuna mambo ya kupigia kelele lakini siyo mkutano wa CCM pale kuna uchaguzi ndani ya chama kwa hiyo ukilinganisha na mikutano ya wanasiana siyo haki ni kweli Vyana vingine vitasikia vibaya kuwa kwanini katazo la rais CCM wao wanaendelea lakini hiyo iko sawa ccm ndiyo chama kinachoongaza nchi kwa sasa kwa hiyo ukipambana nacho utaumia wewe mimi nawaomba BAVICHA wasije kujaribu kuharibu mkutano maana pale rais atakuwa yupo wao wakae waanze nawao mikutano yao siyo kwenda kumpinga rais wa nchi aliyechaguliwa na wananchi hiyo nina imani wanajisumbua

umejibu kwa busara sana, shida ni kwamba huna koma wala nukta, achia mbali makosa mengine ya kiuandishi.
 
Hakuna haja ya BAVICHA kujipanga na kwenda kujaribu kuuzuia mkutano wa CCM. Hii ni kuingia ''vitani'' huku unajua fika utashindwa vibaya. Dawa sasa ni UKAWA kujipanga kuendelea na ile mikutano waliyoipanga kuanzia siku hiyo ambapo CCM wanafanya mkutano wao maana by default lile tangazo la police la kuzuia mikutano litakuwa limeexpire (Intelijensia imegundua mambo yako OK)
Hili ndio wazo mbadala......hao vijana wajiepushe na na vurugu zisizo na msingi, wataishia kuwapa shida ndugu zao......usawa huu kuvunjana miguu sio poa kabisa.
 
haya naona kama ni mambo ya taarabu sasa, hakuna aliyeshindana na demokrasia akashinda,
 
Hakuna haja ya BAVICHA kujipanga na kwenda kujaribu kuuzuia mkutano wa CCM. Hii ni kuingia ''vitani'' huku unajua fika utashindwa vibaya. Dawa sasa ni UKAWA kujipanga kuendelea na ile mikutano waliyoipanga kuanzia siku hiyo ambapo CCM wanafanya mkutano wao maana by default lile tangazo la police la kuzuia mikutano litakuwa limeexpire (Intelijensia imegundua mambo yako OK)
Mkuu hili tamko la BAVICHA walilitoa kiujanja sana na Polisi na CCM wameingia "King".....Sasa ni rasmi kuwa lile katazo la mikutano limefikia mwisho
 
Unwezaje kufananisha kutaniko kuu la Chama kinachounda serikali na mkutano wa kampeni zenye matusi?

JIONGEZENI !

KAMA VIPI NA CHADEMA IITISHE MKUTANO MKUU AMBAPO MBOWE ATAKABIDHI KITI MUONE KAMA HAMTARUHUSIWA KUFANYA.
Imetulia sana hii. Wafanye hivyo hivyo kama kweli ni wanaume wa mbasa tuone Nani zaidi.
 
Back
Top Bottom