RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

Ndo maana nasema nchi inaenda kusiko.Napenda kutoa wito kwa CCM kuhairisha mkutano wetu mpaka pale katazo la mikutano ya siasa litakapobatilishwa.
Mkuu unaliona hili kama ninavyoliona.
Tanzania imeisha. wazee wetu wote hovyo kabisa. Hakuna anayesimama kukemea mambo kama haya. Yaaani hawaoni hii misuguano ya kisiasa haitufikishi mbali. Magufuli pia ajue kuwa Baada ya kuziba mianya ya walaji sasa ana maadui wengi sana ndani na nje. Kumbuka mitandao ya ufisadi, madawa ya kulevya network yao ni kubwa sana ndani na nje ya nchi. Hii haizuia, kwa kutumia hao wapinzani wake wa kisiasa inaweza kuwa trick ya kuingiza nchi kwenye machafuko ili yeye alaumiwe kuwa kauwa amani ya Tanzania. Unakumbuka michezo ya utotoni shule ya msingi makundi rival, anatangulizwa yule mnyonge ili rival wajue huyu tutapiga tu. Kumbe nyuma kuna wababe haswa ambao vurugu zikianza lazima kijasho kiwatoke. Mie nadhani Serikali na hivi vyama vingine wangekaaa meza moja kutafuta suluhu ya hii misuguano. Wote tuko kwenye jahazi moja halafu mnagombana mwingine anataka atoe mbao hivi kuna anakayepona jahazi likizama?
 
Mkuu mpunilevel Tanzania ni Nchi masikini sana utajiri wa Mali ambazo hazimsadii Mtanzania ni utajiri upi huo unaouzungumzia? Umasikini upo kwenye damu ndio maana kila kitu ambacho ni matumizi ya kawaida tuu kinaonekana ni Anasa...
 
Hakuna haja ya BAVICHA kujipanga na kwenda kujaribu kuuzuia mkutano wa CCM. Hii ni kuingia ''vitani'' huku unajua fika utashindwa vibaya. Dawa sasa ni UKAWA kujipanga kuendelea na ile mikutano waliyoipanga kuanzia siku hiyo ambapo CCM wanafanya mkutano wao maana by default lile tangazo la police la kuzuia mikutano litakuwa limeexpire (Intelijensia imegundua mambo yako OK)
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana
 
Unwezaje kufananisha kutaniko kuu la Chama kinachounda serikali na mkutano wa kampeni zenye matusi?

JIONGEZENI !

KAMA VIPI NA CHADEMA IITISHE MKUTANO MKUU AMBAPO MBOWE ATAKABIDHI KITI MUONE KAMA HAMTARUHUSIWA KUFANYA.
Ina maana mnawachagulia watu mikutano ya kufanya?Dikteta uchwara full mizuka na kukurupuka,period!
 
Ndo maana nasema nchi inaenda kusiko.Napenda kutoa wito kwa CCM kuhairisha mkutano wetu mpaka pale katazo la mikutano ya siasa litakapobatilishwa.
Ccm ipo juu ya sheria zote
 
In Lissu voice, hii sio haki.

Shaka pia amedai wako fiti kuwakabili bavicha. kwaio polisi + ccm they talk in one voice hii imekaaje???

chanzo: majira
MBONA BAVICHA HAMUELEWI UKWELI HUU KWAMBA CCM NI CHAMA TAWALA CHENYE SERIKALI YAKE. ACHENI KUJULINGANISHA!! TUMIENI BUSARA MTAUMIA MAANA NAZI HAISHINDANI NA JIWE. ITAPASUKA TU!1
 
Tunaenda DODOMA vifua MBELE huku TUMEZUNGUKWA na MAJESHI yetu YA ulinzi na USALAMA .Chini Ya MAKOMANDOO mwigulu, Masauni , na mwinyi HUssein.
 
hapo utagundua kitu kwani BAVICHA walitangaza kwenda dodoma kuwakumbusha ccm kutii sheria,rais alisema marufuku kufanya mikutano ya siasa,kabla hawajafanya huo mkutano wamshauri JPM asitishe marufuku ya kufanya mikutano,RPC amesahau mwenzie wa lake zone aliesema sababu za kiintelijensia haziruhusu mikutano ya kisiasa. Uwiano ni kuruhusu mikutano kwa vyama vyote
 
Me nafikiri bora na wao ukawa wakafanya mkutano wao siku moja na ccm apo ndo tuwaone Askari watafanya nn kuliko kwenda dodoma
 
Hata ingekuwa wewe lazims umtete mumeo kwa nguvu zote si ndie ansyewapa kula
 
Waafrika sijui huwa tunakuwaje, mfano kama IGP mstaafu asingelizusha la majambia na mapanga ya CUF wakati ule leo hii angelikuwa na watu wengi wa kwenda kumuomba ushauri na busara zake!
Naona BAVICHA wamepiga miluzi mingi sasa mbwa wasio makini wanaanza kujichanganya na kupotea njia hivyo kuwafanya watimize walichokusudia. Hongera bavicha kwa ubunifu huu.
 
In Lissu voice, hii sio haki.

Shaka pia amedai wako fiti kuwakabili bavicha. kwaio polisi + ccm they talk in one voice hii imekaaje???

chanzo: majira
MBONA BAVICHA HAMUELEWI UKWELI HUU KWAMBA CCM NI CHAMA TAWALA CHENYE SERIKALI YAKE. ACHENI KUJULINGANISHA!! TUMIENI BUSARA MTAUMIA MAANA NAZI HAISHINDANI NA JIWE. ITAPASUKA TU!1
 
Kutaka kuidhibiti CCM ni kutaka kumzuia Rais kuleta maendeleo....
Yepi hayo maendeleo? Oooops! Nilipitiwa kidogo. Unamaanisha kuwaleta wataalam wa IT na marubani kutoka rwanda siyo? Nayo ni maendeleo kumbe! Au kukataza siasa huku yeye na chama chetu wakifanya siasa 24hrs ndiyo maendeleo? Jaribu kufikiri tena juu ya maendeleo anayoleta kwa mtu mmojammoja au kwa nchi ulinganishe na mipango na mikakati uliyopo ndio uone kama kuna uwiano.
 
ilikuwa ni very simple wala wasiende dodoma hao bavicha nao waombe kibali wafanye mkutano wao mkoa wowote sasa tuone kama je standard or double standards itatumika, lakini hii ya kusema waende dodoma, mmh ni kama isis kujitoa mhanga au alshabab
 
Back
Top Bottom