Royal weding invitation cards

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,229
1,389
Hello april 29 prince william and kate wanaona kuna utaratibu wa mwaliko wowote kutoka Tz au africa ??maana list mpaka sasa ni watu wa magharibi tu.
 
Hamjamaliza mawazo ya kiutumwa tu? hu iz prinsi bai ze wei?
 
JK lazima atie timu.

masuala ya ubwabwa kama hayo, hawezi kufanya kosa la kitoto kama hilo la kukosa kuhudhuria. hata kama ni kwa mgongo wa kuwakilisha umoja wa africa, it doesn't matter, lazima awemo. that's why i like him the most my dear president!!
 
nduka acha vurugu za maono nimeuliza ushakurupuka ww ndo mtumwa wa mawazo yasiyotulia

unauuliza vitu vya kitumwa tumwa, unataka kujua harusi ya prinsi halafu ukiisha ijua itaisaidia kupunguza maji taka pale tandale? wewe unadhani huyo prinsi wako anajua hata tarehe ya uhuru wa tz japo kuwa alitoa bibi yake? fufukeni na yesu achananeni na fikra mgando za kijinga.
 
Wastage of money and time, yaani hii Royal family inamaliza tu pesa za walipa kodi mie hata umuhimu wao siuoni.Wapo wapo tu kula raha wakati wanakamua watu kodi.hivi hakuna movement iliyoenda against hii royal family Uk
 
thats why i say u have emotinal disturbance hapa forum kuna majukwaa tofauti ,hili sio la siasa so iws right to place the topic here to ask members the awareness about the issue,ww ndo fikra mgando sbb hazijui kinachoendelea,nn maana ya wawakilishi wa maeneo husika kwa hiyo wote tuwaze harufu za tandale. I knw Ur using stomach to comment coz of easter pilau.
 
wewe harusi ya prinsi inakushughulisha nini? wewe badala ujishughulishe na masuala ya muhimu eti harusi ya prinsi ninyi ndio mnawaimbisha watoto wenu nyimbo za kwini hadi leo.
 
jipange aisee! basi miziki ya nje ,nguo za nje ,those who saport EPL ,kikwete na wawekezaji ,hiyo tv ,radio laptop., hii nchi ni yautumwa coz more thn 80% tunagiza kutoka nje,nawe ni mtumwa mzuri coz u own alot of things frm outside, u hv read theoris n principles frm scul to college frm outside books so ur slavery!
biblia unayosoma inasema usimjibu mpumbavu (nduka)sawasawa na upumbavu wake .,.ila ni bora umjibu ili asijione ana hekima machoni pake mwenyewe,
 
Heli yetu sisi tunaokoswakoswa na mabasi na bajaji hapa duniani maana tumeandaliwa ndege mbinguni.
 
Wastage of money and time, yaani hii Royal family inamaliza tu pesa za walipa kodi mie hata umuhimu wao siuoni.Wapo wapo tu kula raha wakati wanakamua watu kodi.hivi hakuna movement iliyoenda against hii royal family Uk

hakuna wanaitumia kama sehemu kutangaza utalii uk,thts wy thy ar anxiosly waitin tht thing to hapen al th media they ar preparin for the live coverage
 
jipange aisee! basi miziki ya nje ,nguo za nje ,those who saport EPL ,kikwete na wawekezaji ,hiyo tv ,radio laptop., hii nchi ni yautumwa coz more thn 80% tunagiza kutoka nje,nawe ni mtumwa mzuri coz u own alot of things frm outside, u hv read theoris n principles frm scul to college frm outside books so ur slavery!
biblia unayosoma inasema usimjibu mpumbavu (nduka)sawasawa na upumbavu wake .,.ila ni bora umjibu ili asijione ana hekima machoni pake mwenyewe,

Ona akili zako, unalinganisha elimu na harusi ya prinsi, get a life u have bigger problems than royal wed invitation.
 
unajifanya unachungu wa maisha... tulia mda si mrefu utakuwa insane,vp inaelekea yesu hajafufuka vizuri kwako leo unamizigo mingi sana !
 
Na Malia na Sasha Obama wana chupi mpya kwa ajili ya easter, nikupe link?
 
angalia unavyolinganisha ng'ombe na kuku"
dont beat urself, it wil be hard for you to understand issues until u stay out of your own way.
 
Hivi na yule mbwa wa Obama anaitwa nani tena? ok Bo naye amealikwa...hahahaha Big news
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom