Royal weding invitation cards

nilisema nduka unavurugu za maono ,ss unaishia unaandika upepo!

upepo wapi haya ni masuala ya muhimu sana kujadili kwa uchumi na maendeleo ya afrika hasa mbwa wa obama na harusi wa mwana mfalme wa uingereza.
 
Wastage of money and time, yaani hii Royal family inamaliza tu pesa za walipa kodi mie hata umuhimu wao siuoni.Wapo wapo tu kula raha wakati wanakamua watu kodi.hivi hakuna movement iliyoenda against hii royal family Uk


am so happy for them
mungu awatangulie wafunge ndoa yao salama pasiwepo na mambo ya ugaidi maana hizi mambo utakuta na mtandao wa Osama umetegesha Antena hapo hapo
 
Back
Top Bottom