Ntakupitia mwakani twende wote ukauone utamu halisi wa Kili Marathon..Mangi acha hizo...
Inakuaga March.. Tarehe sijaconfirm ila utaona tu huku mkuu usijaliMuda ni lini?
@Thad huyo babu Ndo anakuchokozaMi nakuangalia tu... We nidhalilishe tu, mi namwachia Mungu
Zote hizo?? Kwani nagombea world cup?
Leo nimejua kwanini unamng'ang'ani, hakuchoshi@Thad huyo babu Ndo anakuchokoza
Yote hayo umeyaanzisha wewe afu msala unamwangushia mwingine.... sichezi tena na wewe!
Hongera kaka. Nilishiriki Bagamoyo half marathon, ilikuwa nzuri sana, aliyemaliza ndani ya muda alipata medal. Sikuona mapungufu mengi na tulianza mapema. Waliokimbia 5km na 10km hawakupata medal. Hata hyo hawakutakiwa kupewa medal wote, wangetoa kwa 21 na 42 km tuuNilimaliza ingawa kuna km kadhaa nilitembea.
Potelea mbali... ngoja tukuache na hayo majamaa yanayofanya fujo kujitahidi kuingiza kichwa cha chini kwa nguvu... kule ambako kichwa cha juu kilijitahidi kutoka kwa nguvu...Siwaingilii tena, endeleeni na hiyo marathon yenu ya 10sec.
Usiwaonee wivu maana hawapati mambo makubwa sana... Range Rover kwa wife na Harrier kwa vimchepuko ni vitu vidogo sana...Sitamuonea wivu tena mkeo na michepuko yako
Kumbe mmeshahama kwenye marathon??Na huyu Thad ana chura au mjusi mpaka amchokoze babu yako namna hii??
Usiwaonee wivu maana hawapati mambo makubwa sana... Range Rover kwa wife na Harrier kwa vimchepuko ni vitu vidogo sana...
Acha kufukua makaburi... nilishatubu dhambi na Mungu alishanisamehe na kusahau...Hivi marathon ya kitandani ingekuwa na medal babu ungekuwa nazo ngapi?
Hahahahah LOLI love you babu
Ngoja nimwambie MoD wafute huu uzi wa kishetani shetani. Eti mnajifanya kuatngaza watu waone rotary ni kitu cha kawaida, eti waone ukijiunga huko u afanikiwa, uongo mtupu nyie ibilisi anawatumikiahasawa mdogo ake ibilisi
Hongera kaka. Nilishiriki Bagamoyo half marathon, ilikuwa nzuri sana, aliyemaliza ndani ya muda alipata medal. Sikuona mapungufu mengi na tulianza mapema. Waliokimbia 5km na 10km hawakupata medal. Hata hyo hawakutakiwa kupewa medal wote, wangetoa kwa 21 na 42 km tuu