Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,781
Reaction score
129,541
Jana nilishirikina kumaliza RDM. Katika malengi yangu moja ni kushiri marathon angaau mara moja. Na jana nimetimiza kwa kushiriki na kumaliza nusu marathon ambayo ni km21.1.

Niliamka saa kumi usiku ili nifike eneo ka kuanzia mapema,inabidi uwe pale saa 11 na nusu asubuhi ili uanze saa 12 asubuhi.

Kushiriki inabidi ulipe 35,000 na niliongeza na wrost band za charity 5,000 jumla 40,000 ili nishiriki.
Siku ilianzza vibaya kwa kucheleweshwa kuanza mbio hizi.

Tulisimama masaa mawili na kuanza saa mbili badala ya saa 12 asubuhi. Kwa kweli tulikimbia na jua kali sana. Ingawa wanaandaji wanasema sababu ilikuwa nje ya uwezo wao mimi nasema ni uzembe wao. Sababu sitaisema hapa ila haikuja bahati mbaya. Ni sababu ambayo ipo kwenye ratiba mwaka mzima na RDM WANATAKIWA WAJUE. Hilo ni moja ya mambo yaliyovunja moyo washiriki wengi kama sio wote.

Kubwa kuliko na baya kuliko yote ni ukosefu wa medali za kutosha kwa washiriki. RDM wameandikisha watu zaidi ya 10,000(nikiri hili nimesikia tu sina uhakika) huku wameandaa meddali 1,500! Matokeo yake washiriki wengi waliomaliza HATUKUPATA MEDALI! Fikiria mtu aliekimbia km42 anakosa medali huku mtu alietembea km9 anapata medali kwasababu amewahi kumaliza, yaani medali zilikuwa chache aloewahi kurudi ndio anapata hivyo wa kutembea km9 huwa anawahi kuliko mkimbiaji wa km21/42.

Nimesikitishwa sana na huu uzembe, sijui utapeli au kutojali tu kwa waandaji wa RDM. Lengo la kushiriki ni kuweka kumbukumbu kwenye maisha yangu kuwa nishashiriki marathon lakini nimeshiriki na sina uthibitisho wowote, yaani sina tofauti na alieishia njiani akaamua kula kona! Nimesikia wanasema wataandaa utaratibu kutupatia medali kuwa kuna majina wameandika, sijui wanaandika majina ya nini wakati wanayo au walitoa medali bila kuangalia wanampa nani?

Hii ni marathon yangu ya kwanza na ya mwisho kushiriki nasikitika imekuwa kama ilivyotokea.
IMG-20181016-WA0008.jpg
 
Umepata faida kubwa sana kiafya sio kimedali isiyo na thamani yoyote uje utupostie humu kumbe km 21 yenyewe umekimbia masaa mawili na nusu

Shiriki mwakani, jenga afya
 
Hongera hata kushiriki na kumaliza 21km ulizojianda nayo ni medal. Kiuhalisia ni wazembe lazima uandae medali kwa washiriki. Mbona sio gharama kubwa ikilinganishwa na hela mliyolipa.
 
Mimi ilikuwa 9km walker,iliuwa Mara yangu ya kwanza,ila management haikuwa nzuri ingawa issue ya njia ilibadilika kutokana ma misafara ya viongozi.Pengine mwitikio haukutegemewa,mwakani watajipanga zaidi.
 
Sijui walimalizana vipi na washiriki maana nimeondoka pale watu wanadai medali zao.
 
Mimi ilikuwa 9km walker,iliuwa Mara yangu ya kwanza,ila management haikuwa nzuri ingawa issue ya njia ilibadilika kutokana ma misafara ya viongozi.Pengine mwitikio haukutegemewa,mwakani watajipanga zaidi.
Ulipata medali?
 
Duh 30km! Nitajaribu hata 20km. Nilichukua uamuzi wa kushiriki miezi michache iliopita na mazoezi yangu hayakuwahi kuzidi 13km
Ni Mara ya kwanza kushiriki alisema alijifua kwa muda mrefu alikuwa anapiga zoezi la kukimbia kwa wiki mara 3 30km
 
Jana nilishirikina kumaliza RDM. Katika malengi yangu moja ni kushiri marathon angaau mara moja. Na jana nimetimiza kwa kushiriki na kumaliza nusu marathon ambayo ni km21.1.

Niliamka saa kumi usiku ili nifike eneo ka kuanzia mapema,inabidi uwe pale saa 11 na nusu asubuhi ili uanze saa 12 asubuhi.

Kushiriki inabidi ulipe 35,000 na niliongeza na wrost band za charity 5,000 jumla 40,000 ili nishiriki.
Siku ilianzza vibaya kwa kucheleweshwa kuanza mbio hizi.

Tulisimama masaa mawili na kuanza saa mbili badala ya saa 12 asubuhi. Kwa kweli tulikimbia na jua kali sana. Ingawa wanaandaji wanasema sababu ilikuwa nje ya uwezo wao mimi nasema ni uzembe wao. Sababu sitaisema hapa ila haikuja bahati mbaya. Ni sababu ambayo ipo kwenye ratiba mwaka mzima na RDM WANATAKIWA WAJUE. Hilo ni moja ya mambo yaliyovunja moyo washiriki wengi kama sio wote.

Kubwa kuliko na baya kuliko yote ni ukosefu wa medali za kutosha kwa washiriki. RDM wameandikisha watu zaidi ya 10,000(nikiri hili nimesikia tu sina uhakika) huku wameandaa meddali 1,500! Matokeo yake washiriki wengi waliomaliza HATUKUPATA MEDALI! Fikiria mtu aliekimbia km42 anakosa medali huku mtu alietembea km9 anapata medali kwasababu amewahi kumaliza, yaani medali zilikuwa chache aloewahi kurudi ndio anapata hivyo wa kutembea km9 huwa anawahi kuliko mkimbiaji wa km21/42.

Nimesikitishwa sana na huu uzembe, sijui utapeli au kutojali tu kwa waandaji wa RDM. Lengo la kushiriki ni kuweka kumbukumbu kwenye maisha yangu kuwa nishashiriki marathon lakini nimeshiriki na sina uthibitisho wowote, yaani sina tofauti na alieishia njiani akaamua kula kona! Nimesikia wanasema wataandaa utaratibu kutupatia medali kuwa kuna majina wameandika, sijui wanaandika majina ya nini wakati wanayo au walitoa medali bila kuangalia wanampa nani?

Hii ni marathon yangu ya kwanza na ya mwisho kushiriki nasikitika imekuwa kama ilivyotokea.

So long as umetimiza azma yako ya kukimbia Marathon you are done. Hivi vienyeji vyetu tuvizoee tu ushingae waandaaji hawana hata forum ya kukupata feedback "Business as usual". Otherwise ku sacrifice Henkel kumi kwa kuweta history ni utamaduni mzuri pia.
 
Hilo la Medali ni kwel kabisa watu weng sana wamekosa next time wajirekebishe nafikr wanatakiwa kuweka sawa na idad ya watu wanaokimbia hzo distance or less ila sio kwa ratio ya watu elf 10 kwa medali 1500 otherwise it was very nice and Fun.
 
Back
Top Bottom