Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

CosaNostra

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
382
Reaction score
139
Kuna uzi uliletwa hapa kuwa " King maker" Rosta Aziz aliyekuwa nje ya Tanzania kwa muda mrefu sasa ameriudi na kujipanga kumpeleka Lowassa ikulu kwa vyovyote vile - kupitia chama cha CCM.

Baada ya wazee wa chama kukwaza jitihada zile, nia ya walilia rasilimali zetu haikukomea CCM - lOWASA AENDE IKULU KWA VYOVYTE VILE.
Wamewatafuta na kuwapata UKAWA ili kuwatumia kumfikisha Lowassa ikulu. Kama UKAWA wanadhani ni Lowassa mwanasiasa tu na wananchi wafuasi wake ndio waliopokelewa UKAWA wamekosea sana, Wamepokea timu kubwa yenye ukwasi mwingi wa kifisadi unaoratibiwa na fedha za Rostam.

Tulikuwa na matumaini na Upinzani lakini sasa labda tuanze vita ya ukombozi upya, hivi tumeipoteza, mafisadi walewale tuliowasema waliokuwa CCM wamevuka kuja CDM. Pole mama yangu Tanzania.
 
CCM wametokwa sana povu na hii move ya mzee manywele meupe.
Na bado
Lazima atinge magogoni pale mlipoweka mahirizi yanayopumua makubwa makubwa.
 
CCM bado ina chance kubwa zaidi ya kuendelea kutawala. Upinzani ujiandae kwa kupata wabunge wengi zaidi Ili check and balance iwepo kwa ajili ya ustawi wa nchi
 
Back
Top Bottom