Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
mkuu tatizo siyo RA, tatizo ni sheria za nchi hii ambazo ni kama mdomo wa mamba. wajanja walitangulia kutupiga bao kutengeneza sheria zinazowalinda waliopo kwenye mfumo. huyo jamaa ni matokeo tu.
Kweli kabisa , utekelezaji wa ilani utaingia utata, maana huyo ndo engineer wa ilani na ahadi zote za JK anajua wapi fund zitapatikana , zitoke namna gani chama kipate mgawo upi etcCCM bila Rostam Aziz Haiwezekani, Haipo, Ni Mfu...
At the moment Rostam Aziz is the Ruling Party and the proxy President Of the United Republic Of Tanzania ...
Rostam Aziz akijitoa ndani ya CCM na ndani ya Serikali, hii nchi haitakalika (Trust me Mwanakijiji)!
Kama anashindwa kuondolewa kwanini tusiwaondoe wanaomuweka na kumjaza kiburi?, October tuliweza kuwang'oa kwa kura lakini wakachakachua matokeo na kubaki madarakani kwangu hii haina tofauti yeyote na kinachoendelea Ivory Coast.,I wish watanzania tungekuwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kama wananchi wa Algeria na Misri lakini bahati mbaya sisi ni kama kondoo vile kila kitu "Khewala" hata kwa yale yanayotuumiza na kudhalilisha utaifa wetu. Yatupasa tuamke toka kwenye huu usingizi wa pono tuliolazwa na hawa tunaowaita "viongozi wetu" na kufuta udhalimu na aibu inayotandama kwa zaidi ya miaka 30 sasa.
TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA, CCM BILA ROSTAM INAWEZEKANA......nawasilisha.
Mwanakijiji is spot on Rostam! Rostam is not only a liability to the President and the ruling party CCM but an embarrassment to all of us in the sense that as a nation we have allowed just one conman masquerading as a businessman cum politician take us for a ride. However, having said that, I wonder were Mwanakijiji got the the guts to even consider that UVCCM can have the temerity to call Rostam Aziz to order! I am saying this because not long ago we saw how the very UVCCM benefited from the " donation" by one Soni Tomaiya, the suspected beneficiary of the Radar lootocracy and one of the kingpins of the UFISADI mentioned by Mengi last year. That "donation" was supposedly given to help UVCCM to organize its elections. To that effect UVCCM had no moral authority to talk about grand corruption let alone calling anyone to order!! This shows how UVCCM has sunk to that level! It is a big shame.
... The machinery and the individuals involved to make this deal possible make me wonder if we are not in fact dealing with a mafia like crime ring or something similarly audacious and sophisticated. I know for a fact that It could not have succeeded as it has without the help, the means, and the powers of Rostam Aziz. [/SIZE][/FONT]
...
Asante Mwanakiiji, ila jitahidi kuandika kwa lugha ambayo wengi wanaijua itasaidia zaidi. Kwani wengi wa mtandao huu ni watanzania wanaotumia lugha ya taifa kiswahili.
Nadhani Watanzania waliopitia angalau shule ya sekondari wanajua Kiingereza. Tusiwafanye watu wetu duni kiasi cha kushindwa kuelewa.
Unajua ni wangapi wamepita shule za sekondari?
Kutojua au kujua Kiingereza hakuna uhusiano na uduni, ni lugha tu mkuu. Tatizo ni kwamba hata wanaoweza kusoma Kiswahili wanaweza wasielewe, ni uwezo tu wa mtu.
By the way, when you say CCM must act who are you actually talking about?
Naona ni watatu tu ndio wanaoweza kufanya hivyo,
Chairman? That is not possible, you know why!
Secretary General? Give me a break!
CC? Just said RA should be given billions, it did not say he should be dealt with.
Thats why I believe it will be good if Rostam himself decide to quit.
Mwenyekiti hana ubavu, Katibu of course hana ubavu.. nazungumzia Kamati Kuu au Wabunge wa CCM si mwenzao huyo?
MWANANCHI said:Mashtaka 85 kwa kigogo wa Tanesco
Tuesday, 01 February 2011 21:27
ATUHUMIWA KUIBA, KUHUJUMU UCHUMI
Tausi Ally
MHASIBU wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lilian Chengula (42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 85 ya wizi wa zaidi ya Sh1.3 bilioni na uhujumu uchumi.Akisoma hati ya mashtaka jana mbele ya Hakimu Mkazi Mustapha Siyani, Wakili wa Serikali, Zuber Mkakatu alidai kuwa mshtakiwa huyo anakabiliwa na mashtaka 84 ya wizi wakati akiwa mtumishi wa umma.
Pia Chengula anakabiliwa na shtaka moja la uhujumu uchumi kwa kuisababishia mamlaka iliyowekwa kisheria, hasara ya zaidi ya Sh1.3 bilioni............
..............................how Rostam participated from the formation of an offshore company in Costa Rica up to the recent ICC case; or try to pen down the names of the other people in this syndicate that brought us Dowans some of which are very prominent officials. All that will just confirm that which few people know to be the case that behind Dowans, there is Rostam and indeed behind Rostam there is a group of very corrupt public officials and businessmen (some foreign)......................
Ooh,mazee kumbe umekopy na kupaste from newspaper.
you know there different between KNOWING WHAT YOU ARE TALKING AND JUST TALKING.
I mean lyke parrot..realy ticks me off ..is this east africa newspaper our knew costitution now in which we must follow?
Make do with some CONCRETE EVIDENCE guys instead of yapping,whinning lyke a bloody parrot.
Every accused person is innocent until proved otherwise and it is not for the accused to prove his/her inoccense but it is up to the accuser to prove without leaving any doubt