Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Bila kuwa mnafiki kamwe hauwezi kuwa mwanachama wa CCM,hivi kweli rostam anaweza kwenda igunga kupiga kampeni!!?Tusubiri

Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
 
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.

Mkuu FF, tatizo unasoma report zilizoandikwa na RA mwenyewe, Ukifika Igunga hakika utakuwa na huruma na binadamu wenzako waishio Igunga.
 
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
Kwa mara ya kwanza imebidi nikubaliane nawe,nilipita Igunga miaka kadhaa iliopita watu wa pale hawasikii wala hawaambiwi kibaya kuhusu chifu wao R.A.
 
To me this translate to namna gani CCM inawadharau watu wa Igunga!!!!!!!! Mkapa aliyekuwa anaogopa hata kuhudhuria sherehe za kitaifa leo eti ndiyo anawekwa frontline ya ufunguzi wa kampeni!!!!! Na hiyo Igunga ni zaidi ya uisikiavyo.

Na huyo Rostam aliyesema hawezi kuwa sehemu ya siasa uchwara mpaka akaamua kujiuzulu nafasi zake za uongozi ndani ya cham,a kulikoni? Ni lini hizo siasa uchwara zimeisha CCM?
 
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.

Can you substantiate the highlighted please? Maana I personally believe hilo halina ukweli hata kidogo!
 
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
Ni kweli , hakuna mbunge tapel,wa kiwango cha RA kuwahi kutokea (ofcourse ndani ya Ccm matapeli wamejaa kuanzia M/kiti hadi mjumbe shina), kwa hivi kafanya makubwa.
 
Hawa wakina Qadhaffi wa Tanzania sijui lini NATO itatusaidia kuwaondoa
 
Rostam Aziz! huyu jamaa bado ana ushawishi mkubwa Igunga, kwa jinsi nilivyoona siku ile watu wazima wakimwaga machozi!
 
Nilitegemea kuwa ccm watasema wameunda makundi ya wakulima ili washinde kumbe ni makundi ya wakwepa kodi
 
Na hapa ndipo CCM wanapojimaliza kwa miaka ijayo, wao wanadhani kushunda kwao pale Igunga kutawasaidia sana, tena kwa kumtumia mtu yule yule walio muaita muiita fisadi, haya tujipe muda.
 
Pia wampeleke na Lowasa and Chenge.... so mkapa itabidi aseme Rost tamu siya fisadi duh magamba bana
 
Wanamuonea na kumwaibisha Mzee Mkapa, chama mfu ndo anashauriwa akipigie kampeni?
 
Nadhani atakuwa ni msaada mkubwa sana kwa CCM. Huyu mzee huwa haogopi mtu yeyote, nakumbuka alivyodiriki kuwaita Chadema KOKOTO pale Jangwani. Chadema walilalamika sana lakini jamaa hata hakuogopa.
hivi hili likoje mbona silielewa hivi mwenye majina kamili ya huyu mtu ayaweke hadharani maana na hisi ni mwendawazimu,
 
Mhhh jamani, huyu ni Mkapa gani? aliyewahi kuwa rais wetu, basi hizi ni dalili tosha kweli kama alivyosema Msekwa kwamba wanainchi wameichoka sisiem...hadi Mkapa aingilie kati. Na Rostam si ndiye anayesemwa na wao wenyewe kuwa ni fisadi awapishe sasa wanamtumiaje tena?
 
Rostam Aziz! huyu jamaa bado ana ushawishi mkubwa Igunga, kwa jinsi nilivyoona siku ile watu wazima wakimwaga machozi!
Mkuu hizo ni propaganda hakuna cha Rostam kwenda kule jamaa ataki kusikia siasa UCHWARA ZA CCCM,MAJI TAKA, ni alakati za kuwaaadaa watu wa igunga na Rostam.
 
Na hapa ndipo CCM wanapojimaliza kwa miaka ijayo, wao wanadhani kushunda kwao pale Igunga kutawasaidia sana, tena kwa kumtumia mtu yule yule walio muaita muiita fisadi, haya tujipe muda.
Hivi Rost atawaambia nini wakati alishatoa sababu za kujiondoa kwenye chama.
 
Rostam Aziz! huyu jamaa bado ana ushawishi mkubwa Igunga, kwa jinsi nilivyoona siku ile watu wazima wakimwaga machozi!
wale walikuwa watu wa kukodi ambao walilipwa ushaidi upo mkuu, nasikia hata rehersal zilifanyika kuhamasisha hilo mkuu ulizia watu wa huko watakujiri.
 
RA kama kafanya makubwa naomba kujuliswa yafuatayo: Igunga inashika nafasi ya ngapi kiuchumi TZ, je pato la mwana Igunga ni shi ngapi kwa mwaka?, kuna barabara ngapi za lami Igunga? kuna huduma gani za maana za jamii zinazotokana na RA?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom