Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Fisadi Mtoto kindly show us some sense of respect by not using those capitals all the time.It is indeed irritating and annoying . You can do better than that .Najua unatete maslahi ya ndugu zako lakini pia si lazima uandike kama huna cha kusema. Kusema jina lako ujulikane huwezi maana mimi tangia mwanzo natumia jina langu Mimi Joseph Cleophas Lunyungu .Niko wazi na sina wasi wasi sasa hii ya tishia nyau hapana . You cannot give your name kama ungaliweza you would have done kabla ya maneno. Again kutumia maandishi ya namna ni kuonyesha hujakomaa .Use low cases wil do you good na kuonyesha kidogo huna ukungu sehemu pamoja na kwamba to look umejawa na ukungu mgando na kuna siku utakutoka then it will be too late .

Mkuu Lunyungu naona umeamua kuweka uwazi kabisa kwa watu mafisadi kama hawa wajue exactly unachoongelea.
 
DO NOT UNDERESTIMATE THIS ROSTAM AZIZ in every aspect........kuanzia

1.Miradi na kampeni za CCM
2.Zabuni za Serikali nknk nk nk

kama ni mafia basi huyu twaweza kumuita "DON"

katika huu mpambano na MAFISADI Naichukulia JF kama Family ya kupambana na Big Family (Mafia).......watch me our efforts zinaleta na zitaendelea kuleta mabadiliko
 
Hili jamaa ni mega rich.pili ni mwanamtandao mkubwa.kwa hiyo tusishangae This Day wanachofanya.

Ni kweli bongo we have reporters but we don't have journalists.

Naamini This Day anatumiwa hapa for personal grudges na ma DON wengine ambao wamekosa contract....lakini at the same time kuna bomu liko njiani litafumuka kuhusu RA...
 
DO NOT UNDERESTIMATE THIS ROSTAM AZIZ in every aspect........kuanzia

1.Miradi na kampeni za CCM
2.Zabuni za Serikali nknk nk nk

kama ni mafia basi huyu twaweza kumuita "DON"

katika huu mpambano na MAFISADI Naichukulia JF kama Family ya kupambana na Big Family (Mafia).......watch me our efforts zinaleta na zitaendelea kuleta mabadiliko

Nadhani hapa ni kujaribu kujua mambo ambayo hukuyajya kabla,Rostam amezaliwa tabora na babu yake alikuwa akiishi Bukene nzega na alikufa na kuzikwa huko,kasoma shule za tanzania mpaka alipoenda kufanya degree nje ya tanzania.alipata first class degree yake.anaongea vema kiswahili ,kingereza,kisukuma na mother tongue yake ni kinyamwezi.Babu yake ndio alikuwa mtanzania wa kwanza kununua FIAT mwaka 1947.alichofanya RA ni kuendeleza pesa yaukoo na siyo kuiba kama mnavyozani,unaposema an tenda serikalini ebu niambie ni tenda gani hio?na kwa kampuni ipi?navyojua mimi ni kuwa kampuni yake ambayo ni caspian huwa inashindana tenda za kimataifa na za kitaifa.mfano ni tenda za kuchimba madini ambazo si za serikali na imetoa ajira kwa watanzania zaidi ya elfu mbili.nadhani anapoteza hela zaidi ya anazopata ndani ya ccm.
 
Huyu ndio "gangrene"* ya CCM. Amejaribu sana kuwa interlaced na CCM ili whatever happens to him should affect the whole party. Hiki ndicho anachosifika na Fisadi Mtoto and co. Yeye na EL wako karibu sana na wanaweza kabisa kuigawa CCM iwapo watashughulikiwa kama inavyotakikana.

*The best treatment for gangrene is revascularization (i.e., restoration of blood flow) of the affected organ, which can reverse some of the effects of necrosis and allow healing. Other treatments include auto-amputation, debridement and local care, or surgical amputation. The method of treatment is generally determined depending on location of affected tissue and extent of tissue loss.
 
KAKA HAWA JAMAA WANAANDIKA ATA WASIOYAJUA,KOSA LA ROSTAM NI NINI JUST KUSEMA HAKIWEPO MADARAKANI WAKATI HUO,KUNA MWALIMU WANGU MMOJA ALINIAMBIA KTK PRIMITIVE SOCIETY HAKUNA KIFO KISICHOHUSISHWA NA MKONO WA MTU.WAWA WATU HAWAMJUI ROSTAM,JAMAA ANA AKILI SANA WANAHITAJIKA NJAMBO FORUMS KAM KUMI TUJIUNGANISHE AKILI ZETU ILI KUTOA KICHWA KIMOJA CHA ROSTAM.

Labda ,akili kama zako !!!
lakini sio kama zetu,maana sisi mmoja tu anmzidi!!!
 
Nadhani hapa ni kujaribu kujua mambo ambayo hukuyajya kabla,Rostam amezaliwa tabora na babu yake alikuwa akiishi Bukene nzega na alikufa na kuzikwa huko,kasoma shule za tanzania mpaka alipoenda kufanya degree nje ya tanzania.alipata first class degree yake.anaongea vema kiswahili ,kingereza,kisukuma na mother tongue yake ni kinyamwezi.Babu yake ndio alikuwa mtanzania wa kwanza kununua FIAT mwaka 1947.alichofanya RA ni kuendeleza pesa yaukoo na siyo kuiba kama mnavyozani,unaposema an tenda serikalini ebu niambie ni tenda gani hio?na kwa kampuni ipi?navyojua mimi ni kuwa kampuni yake ambayo ni caspian huwa inashindana tenda za kimataifa na za kitaifa.mfano ni tenda za kuchimba madini ambazo si za serikali na imetoa ajira kwa watanzania zaidi ya elfu mbili.nadhani anapoteza hela zaidi ya anazopata ndani ya ccm.

Nakupa lead: Nenda DAWASCO uulizie performance ya kampuni hii in relation to tender WALIYOPEWA.
 
Insurgent,

Nadhani suala la RA liko kama lina kaharufu ka-ubaguzi vile... sijui kama anatendewa haki 100%, this guy have registered companies zinazofahamika na zinazofanya kazi sasa sijui maskini jamaa wa watu kuna tatizo gani na yeye...

Kila tukiulizia tunaambiwa tu, tuamini kwamba yeye ni mtu mbaya!!! Wekeni mambo wazi ... hakuna!!
 
Nadhani hapa ni kujaribu kujua mambo ambayo hukuyajya kabla,Rostam amezaliwa tabora na babu yake alikuwa akiishi Bukene nzega na alikufa na kuzikwa huko,kasoma shule za tanzania mpaka alipoenda kufanya degree nje ya tanzania.alipata first class degree yake.anaongea vema kiswahili ,kingereza,kisukuma na mother tongue yake ni kinyamwezi.Babu yake ndio alikuwa mtanzania wa kwanza kununua FIAT mwaka 1947.alichofanya RA ni kuendeleza pesa yaukoo na siyo kuiba kama mnavyozani,unaposema an tenda serikalini ebu niambie ni tenda gani hio?na kwa kampuni ipi?navyojua mimi ni kuwa kampuni yake ambayo ni caspian huwa inashindana tenda za kimataifa na za kitaifa.mfano ni tenda za kuchimba madini ambazo si za serikali na imetoa ajira kwa watanzania zaidi ya elfu mbili.nadhani anapoteza hela zaidi ya anazopata ndani ya ccm.
Kaka Asubuhi ya leo imekua ya Faraja JF members wamesoma jina la kijiji chetu BUKENE i mean Tarafa yetu.

Asante sana Fisadi Mtoto kwa hili.

ANGALIZO.

Niki angalia hoja inayo endelea hapa imekua zaidi ya kumtazama Rostam badala ya kua anaglia kilichokua kinajadiliwa na UTUMBO wa THIS DAY.

Chakusikitisha ni kua Chuki za mtu juu ya alichonacho inaonekana wazi kwa baadhi ya wachangiaji,kwa wasiofaham its good waombe kujua who is they guy alipotoka na where aliaweza kupata mali alizo nazo nashangaa some pple to comment on issues wasizo jua.

Wana JF karibuni BUKENE/NZG a HOME of BRIGHT PPLE bcs tuna kula NYAMA NYINGI,MAZIWA,VIAZI,MIHOGO and a lot of Protiens.
 
mEDIA TO MEDIA CONFLICTS OF INTEREST? MIMI SIJUI,TUTAYAONA TU MENGI AS LONG AS GOD CONTINUE TO GIVE US MORE TIME TO BREATH THIS FREE OXYGEN
 
Insurgent,

Nadhani suala la RA liko kama lina kaharufu ka-ubaguzi vile... sijui kama anatendewa haki 100%, this guy have registered companies zinazofahamika na zinazofanya kazi sasa sijui maskini jamaa wa watu kuna tatizo gani na yeye...

Kila tukiulizia tunaambiwa tu, tuamini kwamba yeye ni mtu mbaya!!! Wekeni mambo wazi ... hakuna!!

What? Ina maana husomi thread za JF? Tatizo lako unadhani kuwa kuna mtafiti msaidizi hapa wa kukusomea thread za JF kisha akajibu maswali yako na wenzako hao usiotaka kuwataja majina.

Search post zinazomhusu Mkoloni na Mwizi Rostam Azizi hapa na utaona ushahidi uliowekwa hapa kuhusu uhusika wake na kampuni ambayo Kikwete ameshindwa kuitaja ya Kagoda..... ukianzia hapo then utajua pa kuelekea kwenye utetezi wako wa mafisadi!
 
Kwi kwi kwi

Kwakweli nisiposoma post zako kwa siku hua najikuta kuna entertainment nimekosa BINTI unaongozwa na Hasira ZAIDI kuliko Busara,

Kuna mwalimu aliwahi kuniambia Primary school nilipokua nasoma hadithi KIBANGA,akaniambia THE HIGHEST LEVEL YA ELIMU NI HEKIMA.no matter ya Darasani or Not.

Bint wewe Unahukumu watu kwahiyo ushakua polisi,hakimu,bado hujawa askari magereza.

Mara nyingi aina hii ya Jazba kwetu usukumani kwa mwanamke hua ni yule ambae kwa muda mrefu hajapata ile KITU, sasa anakua na Hasira Zaidi kuliko Busara.

Sitaki kukuhukumu kwa hilo ila angalia mkoloni alie na Rangi kama yako hapo Chadema ambae amechukua sehemu kubwa ya akili yako na kuijaza na Hasira,Jazba, ilopelekea kukuwa na -ve thinking always.

Pole Sana
 
Siwezi kupokea ushauri toka kwa watetezi wa ufisadi kama wewe!
 
Hivi hatuwezi jadili mambo bila matusi?

Yaani mwafrika wa kike una-penda kufanya mambo kwa moyo zaidi kuliko kutumia hekima... eventually una-provoke watu watoe matusi...
 
Mhhh,

yani mie ndio wakulaumiwa tena watu wakitoa matusi bungeni? lini watu watakuwa responsible kwa matendo yao? Hakuna justification yoyote ya kutoa matusi..... get it?
 
“Rostam Aziz alitakiwa atoe maelezo kuhusu uhusiano wake na Kampuni za Richmond na Dowans Holdings S.A, baada ya mashahidi kadhaa kudai kuwa ana uhusiano nazo.

“Aidha, alitakiwa aeleze kwa nini anwani ya barua pepe ya kampuni yake ya Caspian Construction Ltd, ilitumiwa na Dowans.”

Lakini alipoulizwa na Mtanzania jana, Rostam alisema yeye ana kampuni ya ukandarasi na amekuwa akifanya kazi na makampuni mbalimbali bila kujali mambo ya kisiasa.

“Mimi ni mkandarasi, nimefanya kazi na nitaendelea kufanya kazi na makampuni mengi, sina la kuficha katika hilo, kwani kila mtu anajua kampuni yangu,” alisema.
 
Haya alitakiwa akayaseme kwenye tume na siyo kwenye magazeti anayoyamiliki kwa hisa kubwa
 
Back
Top Bottom