binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,818
- 46,958
Mimi ni mlinzi.Mrembo hujala Tu. Yani mimi tangu jana asubuhi nilikuwa naisubiria tarehe 28
Bint unahitajika kwenye jengo moja pande za ununio...😎Mimi ni mlinzi.
Umewasikia watu wanaitwa wapiga doria mtandaoni? nina bifu nao 😅 Silali niko nawasaka hapa tumalizane kimya kimya, ubaya ubwela.
Sasa hili daladala la Pugu Kariakoo limerudi! Mbona madeiwaka wengi sasa, tutafika?Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Ulisema Mwezi wa 7 kutatokea Msiba Mzito,Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Angalia usije ukapigwa Busu la Kenge na Baba NdubwiMimi ni mlinzi.
Umewasikia watu wanaitwa wapiga doria mtandaoni? nina bifu nao 😅 Silali niko nawasaka hapa tumalizane kimya kimya, ubaya ubwela.
Huu ushafika mwezi wa 9 zile raamli chonganishi zimeshapita trh 28 hii hapa Wakatoriki washafunga NOVENA kumekisensi na wao wanaenda kuzindua pale kwenye kilinge chao chenye majini wengi Kawe kwa hio kumaanisha kwamba Mungu wa Catholic km anaweza apambanee na MajiniUlisema Mwezi wa 7 kutatokea Msiba Mzito,
Vipi tuendelee kusubiri????
Hapana mkuu!secretarybird ni wewe?
Waongeza chumvi hamkosekani😂Kuna kinda fulani nalo linaanza kuwa kama RA.
SAMEER KARIM ALIBHAI mjukuu wa marehemu mwenye shoppaaz.
Put an eye on this kid.
Cha kuwafanya kipo kama tutafika mahali tuanze kujiheshimu na kutoabudu rushwa.Wabongo tutakavyojazana kwenye uzi ufafikiri tuna kitu cha kuwafanya hao mafisadi.
Haya muda wa chai 😂Mimi ni mlinzi.
Umewasikia watu wanaitwa wapiga doria mtandaoni? nina bifu nao 😅 Silali niko nawasaka hapa tumalizane kimya kimya, ubaya ubwela.
HHii ni stori iliyo straight, hakuna makona kona hapa.Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.