Inaonekana rost tamu alimwagia mpaka ndani kabisa akapewa mgodi kwa bei chee maimeni yaan billion 5 mgodi una thamani ya kuchimbwa miaka zaidi ya 400 kweeli kuna waahuni wanajua kumbato sio utani unatoa billion 5 unaingiza zaidi ya billion 500 halafu mama yako anabaki anachekelea tu, ndio maana kuna mtu alisema hii Katiba hii siku akitokea rais Mwendawazimu kichaa Mjinga hana akili ataiuza Nchi yote tena kwa bei ya Hasara kabisa afunge hesabu alale mbeleMwaga mwagia ndanii
Biashara ya makaa ya mawe haina hela vile, kama unauza kwa bei ya soko.Inaonekana rost tamu alimwagia mpaka ndani kabisa akapewa mgodi kwa bei chee maimeni yaan billion 5 mgodi una thamani ya kuchimbwa miaka zaidi ya 400 kweeli kuna waahuni wanajua kumbato sio utani unatoa billion 5 unaingiza zaidi ya billion 500 halafu mama yako anabaki anachekelea tu, ndio maana kuna mtu alisema hii Katiba hii siku akitokea rais Mwendawazimu kichaa Mjinga hana akili ataiuza Nchi yote tena kwa bei ya Hasara kabisa afunge hesabu alale mbele
Mrembo hujala Tu. Yani mimi tangu jana asubuhi nilikuwa naisubiria tarehe 28Okay.
secretarybird ni wewe?mpaka kieleweke mkuu shusha nondo!!
Baba Ndubwi njoo haraka hukuUmbea unakuwaga mtamu yani umenifanya nisilale kabisa na morning kali naenda kubeba box
Kuna mdau anasema comment zinafutwa sijui ni kweli ngoja nione hiiRostam ni mbwa mwitu katika kundi la kondoo.. wale walioukuwa kwenye kamati ya kuchunguza Richmond wameuliwa na wengine waliishi maisha ya digidigi..William Shelukindo,Harrison Mwakyembe,Stella Manyanya,Lkcas Seleli,na spika Samwel Sita.. hapa watakuja chawa wake anaowalipa kumpambania huyo fisadi watakuambia una wivu wa kimaskini .. **** sn hawa watu...