Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Status
Not open for further replies.
jamani huyu salama hamad si ni ndiye nasikia ametembea na RA na Napee au?

.
Mbona wanasema Nape ni mlokole na ana mke? Ama yupo kwenye yale madhehebu yanayoruhusu mke mmoja wa ndani na wengi wa nje kwa tahadhari kubwa ya kuepuka fumanizi?
.
 
Inaelekea wewe hujui maana ya ulokole.Mlokole hawezi kuwa mwanachama wa CCM au kuwa na tabia za aina ya Nape.
.
Mbona wanasema Nape ni mlokole na ana mke? Ama yupo kwenye yale madhehebu yanayoruhusu mke mmoja wa ndani na wengi wa nje kwa tahadhari kubwa ya kuepuka fumanizi?
.
 
Hilo gazeti ni miongon mwa magazeti PENDWA, mbinu hizo labda atumie Malima au lusinde sio Rostam, Nape ni kama kondom tu tatizo lipo kwenye DUDU!!
 
DEMU MWENYEWE ANAMVUTO LAKINI

DSC07295.JPG
 
Hii nchi ina vituko vya aina yake. Pia inasikitisha katika karne hii mwanamke uadiriki kujirahisisha kiasi hicho tena kutumiwa. Km hii story ni kweli, ningependa kumuuliza huyo bi dada, km angempa Nape sumu, je angetangaza km anavyotangaza sasa?
 
Halafu mtoa hicho kiswahili chake kimejaa amemupa... akamupa..tumemukubali... tumemushanga...kibao!
 
Duh... Maajabu haya..

Mi sijakiona anachoweza kukitumia kumstua mwanaume! Namuona wa kawaida tu! Kweli kila mtu na hisia zake..
 
Kuna mkuu katupia picha inayodaiwa ni ya A. Malima.. Kama ni kweli,basi Upaparazzi umeingia hapa nchini!
 
ngoja wamalizane wao kwa wao kwanza-naona swala la ukimwi hawalikumbuki tena
 
Umalaya wa wanasiasa haswa wa CCM utaisha lini cause hata viongozi wasio na sifa watapatikana kwa ahadi za ngono na appointing authority! Ee Mola tulipie kisasi kwa viongozi malaya Amen!
 
Hii pumba tu. Nape angeenda poa, huyo changu nae poa. Ila hapa Mleta mada anamfagilia nani? Hapa kulamba Rostam hana tatizo. Si kwa ajiri ya kazi. Na Nape je? Kama ndo hivyo basi Nape naye alitoa rushwa ya kumkimbiza. Ondoa hizi porojo za kuchafuana kwa magamba. Ningejua hiko hivi basi nisingeisoma au kuifungua,
 
Salma kaleta hii story ili iweje hasa. Tujue waliopita kwake au jinsi alivyomnusuru Nape kifo au tujue yupo UK AU nini hasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom