Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

Je ni dawa gani inatumika kwenye mashine hizi? Isije ikawa ni zile Rais wetu ametueleza haziui virus?
Je tuna bajeti ya kitaifa kupambana na janga hili au tunategemea michango binafsi? Maana naona mochango ya watu binafsi ndiyo inafanya kazi inayoonekana tena kwenye miimili yote ya dola na pande zote za nchi yetu!
 
Hawa wabunge ni wanafiki sana yan wanajijali wao tu cc wananchi wa chin ndo tufe...wangekatwa hata mishahara yao au posho zao za wiki nzima kuunga juhud za kupambana na huu ugonjwa ningewaona ni watu.......kwel aliyeshiba hamkumbuk mwenye njaa

Its not over until its over...
 
Back
Top Bottom