William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Well, saa imefika sasa wameanza kama ilivyosemwa, sasa wakishatoka wote liangaliwe suala la Sheria!
Willie @ NYC, USA.
Willie @ NYC, USA.
because in Fenruary 2011, you asked him to resign. Au umesahau?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/107478-rostam-must-resign%3B-ccm-must-act-8.html
EMT.. kwanini hakujiuzulu Februari kwa sababu; Februari kwangu was just a culmination of a campaign started years ago.
- Well, saa imefika sasa wameanza kama ilivyosemwa, sasa wakishatoka wote liangaliwe suala la Sheria!
Willie @ NYC, USA.
Mkuu umesoma speech yake? Amesema wazi kabisa kuwa hajajivua gamba. Ndio maana kabakia na kadi yake ya CCM.
- Next stop kwenye Sheria!, Bravo Nape!
Willie @ NYC, USA.
Thanx Mwanakijiiji,Wamebakia Mapacha wawili tu..Tunawasubiria na wao...
kazi hii aliianza Dr slaa pale alipo tanganza List of shame ya kwanza ya watu 11 pale mwembe yanga akiwamo na JK. Sasa sijui wewe unaizungumzia ipi? Hii ya Dr slaa PHD ama hii ya propaganda ya kumsafisha jk aonekane yeye ni msafi? Ambayo Nepi anaimba nayo kiduku?- Well, saa imefika sasa wameanza kama ilivyosemwa, sasa wakishatoka wote liangaliwe suala la Sheria!Willie @ NYC, USA.