Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Kwani kujiuzulu kwa Rostam ni big deal kiasi hicho mpaka kumshughulishe Rais, Kama walivyosema hapo juu Rostam ni mwanaCCM tu kama wengine so sio lazima mwenyekiti ashituke kiasi hicho na kusema alishakabidhi barua kwa mwenyekiti, mwenyekiti wa CCM ni taasisi na sio mtu so kama mwenyewe hakuwepo ofisini wasaidizi wake walikuwepo na walipokea hiyo barua ndio maana ya RA kusema amemkabidhi mwenyekiti barua yake ya kujiuzulu!
 
we ulitaka awe kwenye luninga akishuhudia RA akijivua gamba, wakati hizo ni siasa uchwara kabisa hata mkweree mwenyewe anajua!
 
hivi wewe unayeleta mada kama hii, una akili kweli wewe? Ulitaka awe wapi? nyuma yako? chundu kwelikweli wewe.
 
we ulitaka awe kwenye luninga akishuhudia ra akijivua gamba, wakati hizo ni siasa uchwara kabisa hata mkweree mwenyewe anajua!

saaaaaaaaaaaafi sana,killing me softly with these songs................................
 
jk.JPG
 
Attachments

  • jk.JPG
    jk.JPG
    48.9 KB · Views: 36
Ni kawaida yake kwenda Serengeti kwa ajili ya kuchakachua mambo na genge lake la wezi.
 
Mimi nilkua miangaikon
Je wajua siku bwana Rostam Aziz anajivua gamba muheshimiwa JK alikua wapi? basi kwa sisi tulioko kanda ya kaskazini mkoa wa Arusha mimi nilikua niko kwenye mbuga za wanyama Serengeti niko na watalii wangu tunaangalia chui pamoja na simba ndipo kwenye kuangalia kundi la simba na chui tulikua pamoja na muheshimiwa JK tukijivinjari huku bwana Rostam akiwa Igunga na wananchi wake waliompigia kura siku anajivua gamba, nahisi kujivua gamba kwa bwana Rostam Aziz sio kwamba JK alikua hajui ni nini kinaendele hapana hawa watu walishapanga mpango mzima wa kuwahadaa wananchi kwa bwana Rostam kujivua ubunge pamoja na nyadhifa zote CCM lakini eti atabaki kama mwanachama tu! Mimi nasema haitoshi kama kweli hapendi siasa uchwara basi arudishe na kadi ya uanachama hapo tutamuelewa. Nawasilisha.
 
By Ani Jozen

17th July 2011

‘We built this city, with rock and roll,' is what US pop music idol Tina Turner used to tell the fans in the heydays of her career, not so long ago. ‘So let it be with Caesar' as Mwalimu would have added, were he around to savor the departure of Igunga MP Rostam Aziz from national politics, at least for the time being, if not for all time.

At any rate a Sikika survey on parliamentary contributions ranked the MP as one who hadn't asked a basic question for the whole period of the survey, five years.

In other words, in strict statistical terms, the Igunga MP had the record of least active MP, which means that perhaps the area is entitled to give the country someone who is more at ease with the formal and open role of MP, not one who exults confidence and importance only behind closed doors.

Putting it differently, hearing of resignation of the Igunga MP reminded one of a headline in 'Mfanyakazi', during the time of the late Stanley Katabaro. It concerned the abolishment of Balukta, Sheikh Yahya's outfit.

The headline said ‘Balukta wasn't there, it existed by tricks' (‘Balukta haikuwepo, iliishi kitapeli') as also the syndrome of the MP's abandonment of his seat, in that he wasn't feeling as an MP in the first place. His preferred environment to contribute ideas or suggestions, or ask questions as to what is happening wasn't Parliament, but perhaps NEC. If he also had to resign from the party position, that may have been a bit more significant; the only problem is that it is Parliament which is respected countrywide.

It was as yet unclear whether the MP wished the matter to stand where it was, or put it out as a ‘last card' sort of strategy to see where it comes to, for instance what the reaction in his constituency will be. If there is petitioning that comes up, and meanwhile no confirmation letter or formal notification to the Speaker and to the CCM Secretariat has been made, he could announce a rescinding of his position, with a clear awareness of how much loyalty he retains. That aspect of things was unclear.

The reason for this sort of speculation was that the Speaker of Parliament wasn't as yet officially informed of the MP's resignation by the time the House sat for its early morning session on Thursday, after the resignation was announced the previous evening. Similarly the CCM Secretariat had not received any such notification, and that way the secretary general wasn't in a position to acknowledge that the MP was no longer MP and NEC member. Was it thus a hasty decision, or rather careful programme?

One could say it was hasty if the announcement came before any formal notification of resignation has been given to appropriate authorities, in keeping with the maxim among the Pare people that ‘a traveler doesn't pull out the grass from the pond.'

Leaving the grass in place is helpful if one has to beat a hasty retreat, and if in this case a retreat is envisaged, depending on the nature and level of reactions, from both his colleagues and the public, it may be strategic. So either the letters follow or the announcement is caduc, that is he desists from the step, out of great public demand.

So there was still sometime to wait to see if there was a wider strategic game in place or a formal decision to quit that is devoid of ‘ifs or buts' as they say. Just what is in the MP's own interest or in the interest of his close friend the president is uncertain, as in politics finally it is a matter of what everyone's rights are, if in case Rostam leaves it would be positive for JK. That is what may have decided the matter.

Rapidly put, the departure of Rostam Aziz, if it is confirmed to the respective bodies (Parliament and Secretariat) would be a boost to the overall mood in the party, that finally something is happening in the direction of eliminating cadres suspected of bad dealings. At the same time there is a bit of both surprise and rancor in the ranks which works in an opposite direction, that digesting the departure of that single MP is already proving to be a headache. Pushing for other resignations might not be easy.

It is thus conceivable that the Igunga MP thought up that measure because he was increasingly uncomfortable to be part of a breadth of colleagues where fingers are nearly all the time pointing at him. The credit wouldn't first go to actors of the 9th Parliament but the new Secretariat, especially new publicity secretary Nape Nnauye.

The fact that he had the authority of the party chairman about the matter meant that the situation becomes a bit uncomfortable, and ties with JK are eased if he quits.

What however was untenable in the presentation of the Igunga MP when he was announcing his departure was that he was visibly agitated in taking stock of the situation, talking of ‘dirty politics' in CCM. It would have been preferable if the MP helped the matter with at least a clear sight of the issues, for instance if there is a vacuum of policy in the direction of public-private partnership, such that any such engagement is viewed with suspicion. But dirty politics per se shouldn't have come from himself, as a veteran operator in the ‘mtandao' politics and what went around.

The point is that the 2005 nomination campaign, despite the fact that JK had a clear lead because he had come first in the 1995 nomination run, was characterized by cloak and dagger politics, which hasn't ended until now. So it is entirely likely that those battling the MP have more than the Dowans issue to animate the spirit, but the MP claims to be an innocent victim. Smearing lifted mtandao, smearing winds it down.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
john%2Bchiligati.JPG

Naibu katibu mkuu wa CCM Kapteni John Chiligati amekataa katakata kuzungumzia shutuma zilizorushwa kwake na Rostam Aziz. Habari za kitafiti zinabainisha kuwa licha ya vyombo vya habari lukuki kumtaka Chiligati kutoa kauli kuhusiana na sakata hilo lakini yeye amegoma kulizungumzia huku akidai yeye si msemaji wa chama.Habari zaidi zinadai gazeti la Mwananchi lilitaka kufahamu msimamo wake kuhusu swala hilo lakini akagoma kabisa hatua ambayo imetajwa kuakisi hali ya mvurugano iliyoko ndani ya CCM ambayo inatajwa kuwagawa makada wa chama hiko kufuatia hatua ya Rostam Aziz kujiuzulu huku baadhi wakiunga mkono na wengine wakipinga vikali.(www.novakambota.com)
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Rostam aivuruga CCM [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Sunday, 17 July 2011 20:52 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
UAMUZI WAKE WA KUNG'ATUKA WAGONGANISHA MAKADA
Waandishi Wetu
Mwananchi

UAMUZI wa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kujivua nyadhifa zote ndani ya CCM, umeanza kukivuruga chama hicho, baada ya baadhi ya makada wake wakiwamo mawaziri kutupiana lawama hadharani huku wengine wakitaka uongozi wa chama kuwafukuza wenzao wanaoonekana kuwa mzigo.
Uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha kuwapo kwa makundi ndani ya CCM yanayopingana kimtazamo kuhusu hatua ya mwanasiasa huyo kujiuzulu wiki iliyopita.

Uchunguzi huo unaonyesha kuwapo kwa kundi linalopongeza uamuzi huo na kutaka watuhumiwa wengine waige mfano wake huku jingine likiwaponda wenzao wanaoshinikiza hatua hizo.

Hatua hiyo inaonyesha wazi kuwa mpango mkakati wa chama hicho kujivua gamba unakifanya kiingie katika mtihani mgumu zaidi kisiasa.

Vita ya makundi kuelekea mbio za uchaguzi mkuu wa rais mwaka 2015, nayo kwa kiasi kikubwa inachochea moto huo wa mpango wa kujivua gamba, kwani wapo wanaodhani kuwafukuza watuhumiwa wa ufisadi ni kete muhimu kimkakati kuelekea uchaguzi huo huku kundi linalotuhumiwa likiweka mbinu kuzuia utekelezaji wa mpango huo.

Genge la makada wa CCM linalojipambanua kuwa la wapambanaji dhidi ya ufisadi limekuwa likiuchukulia mpango huo wa kujivua gamba, kama kete muhimu kupunguza nguvu ya upande wa pili wa watuhumiwa wa ufisadi katika mbio hizo za urais mwaka 2015.

Vivyohivyo genge la watuhumiwa wa ufisadi ambalo limeonekana kumwandaa mgombea wao 2015, limekuwa likitumia ukwasi wake mkubwa kujiwekea mazingira mazuri ndani ya chama hicho huku wapambanaji wakitumia mtaji wa nguvu ya umma, katika kujipatia umaarufu.

Kufuatia upepo huo mbaya wa kisiasa unaovuma ndani ya CCM hasa baada ya kujiuzulu kwa Rostam, tayari baadhi ya makada wakongwe wa chama hicho waliozungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti wamesema chama hicho kwa sasa kinatakiwa kuongeza umakini katika utendaji wake kwa kuwa mambo yanayoendelea sasa, yanatishia hatima yake.

Kauli ya Guninita
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ambaye ni mmoja wa watu muhimu katika kundi linalozuia wapambanaji wa ufisadi kuchanua mbawa zao ndani ya chama, alisema ni unafiki kwa mwanachama wa CCM kujitokeza na kusema kwa sasa chama hicho ni shwari wakati anaona watu wanajiuzulu.
Guninita alisema hayo mwishoni mwa wiki alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho, Kata ya Kimara katika mkutano uliojadili sababu za CCM kushindwa katika majimbo ya Ubungo na Kawe jijini Dar es Salaam, Majimbo hayo yote yamechukuliwa na Chadema.
“Unaona watu wanajiuzulu, halafu unasema shwari! Unamdanganya nani? …unaona mawaziri wanarushiana maneno halafu bado unasema shwari, unamdanganya nani?’’ Alihoji.

“Matatizo yapo…hali iliyopo sasa ndani ya chama haihitaji mtu uwe umehitimu shahada ya chuo kikuu kuhusu mambo ya migogoro ndio utambue kuwa kuna mgogoro ndani ya CCM,” alisema.

“Huu ni muda wa kutafakari na kuhakikisha kuwa mawimbi haya hayazamishi chama, unafiki umetawala ndio sababu tumefikia hapa,’’ aliongeza.
Guninita alisema makundi ni sababu za CCM kuanguka katika majimbo ya Ubungo na Kawe, hivyo chama kinapaswa kujitafakari kwa makini ili kuondoa tofauti zilizopo.

"Mmeingia kwenye uchaguzi mkiwa na makundi, na hata sasa yapo bado kuna unafiki, tumetanguliza maslahi ya viongozi mbele badala ya chama,” alisema na kuongeza:
‘’...Mchawi wa CCM ni chama chenyewe, wapinzani hawana shida kwa sababu kule hawana viongozi na wanaharakati tu.”

Nape: Mwache Guninita aseme
Hata hivyo, Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM , Nape Nnauye, alipoulizwa jana kuhusu kauli ya Guninita kwamba hali ndani ya chama si shwari alisema, angependa kuona kauli hiyo kwanza kabla ya kujibu kitu chochote.

Balozi Lusinde atoa angalizo
Mmoja wa makada maarufu wa CCM tangu enzi za TANU na mmoja wa mawaziri wa kwanza wa Baraza chini ya Serikali ya Tanganyika huru, Balozi Mstaafu Job Lusinde, alisifu uamuzi wa Rostam kujiuzulu nyadhifa zake, akisema ni wa kishujaa. Lakini, akawataka makada wengine wanaonyoshewa vidole kwa tuhuma mbalimbali, waige mfano wake badala ya kusubiri kufukuzwa.

Balozi Lusinde ambaye ni mmoja wa watu wanaoheshimika nchini, alisema “Hakuna kidonda katika kufanya maamuzi ya kujing’atua kwa hiyari kwani hatua hiyo itamaliza haraka kelele za wananchi.’’

Lusinde alirudia kauli yake kuwa chama ni lazima kiondoe woga na kigugumizi kilichopo ili kuwafukuza mara moja watu ambao wanaamini ni mzigo, ndani ya chama hicho kuliko kuendelea kutumia majukwaa kutangaza mambo hayo wakati wanazo nafasi za kufanya hivyo kwenye vikao.

“Napenda kueleza jambo moja kuwa kama chama kina ushahidi na hao wanaowatuhumu, basi kiwafukuze mara moja kuliko kuendelea kupiga maneno yasiyo na utekelezaji ndani yake na kama hawana ushahidi basi waache kuwapigia kelele wenzao bali hao wanaopigiwa kelele watajipima wenyewe,’’ alifafanua.

Kuhusu mpasuko ndani ya chama endapo kitachukua maamuzi magumu, alisema, “ Mpasuko ni bora kuliko chama kufa kwa ajili ya kuwang’ang’ania watu wachache ambao ni ‘funza’, katika safari lazima wengine watoswe.”

Kwa maoni ya mwanadiplomasia huyo, ingefaa watu wote ndani ya CCM wanaotuhumiwa wasisubiri kutimuliwa hata kama hawana hatia, lakini kwa kuwa watu walishazungumza mambo mengi juu yao, basi lazima wakae pembeni kwanza ili chama kiweze kujijenga.

Akemea viongozi wa CCM
Hata hivyo, Balozi Lusinde aliwanyooshea vidole viongozi wa CCM kuzunguka katika maeneo mbalimbali nchini na kuwaita wenzao kuwa ni mafisadi hata baada ya vikao kuamua misimamo mingine.

Alifafanua kwamba, kitendo cha viongozi ndani ya chama kuendelea kuwaanika wenzao katika majukwaa kuwa ni mafisadi kinaongeza na kuchochea chuki ndani ya chama hicho kikongwe na akakemea tabia hiyo kuwa inapaswa kuachwa mara moja.

“Hawa viongozi nao wana jambo ambalo silipendi kabisa, hivi walishaelezana kwenye vikao ya nini tena kuzungumza kwenye majukwaa kuhusu wenzao hao wanaowatuhumu, si afadhali kuwafukuza kuliko kuwasema kila siku hii ni kuongeza vidonda.’’

Mtazamo wa CCM kwa siku zijazo
Lusinde alisema chama kilivyo kwa sasa kinapaswa kupata viongozi waadilifu ambao wanaweza kukisogeza kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine na kwamba bila ya kupatikana viongozi wa aina hiyo chama kitazama
Alipingana na kauli kuwa ndani ya chama hicho kuna watu watatu ambao wanakivuruga na badala yake akasema wapo watu wengi kuanzia ngazi ya chini na akataka uwajibikaji na kujivua gamba uanzie chini.

Hata hivyo, alisema kuondoka kwa wanachama ndani ya chama hakuna maana chama kitakufa, bali kinajiimarisha zaidi kwa kuwa watu wengine wataanza kuogopa.Balozi Lusinde alitoa mfano wa kipindi cha awamu ya kwanza na kusema kulikuwa na uwajibishwaji ambapo watu kama akina Oscar Kambona na wengineo waliwajibishwa na kupoteza umaarufu wao.

Kauli ya John Chiligati
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Tanzania Bara), John Chiligati alipoulizwa juu ya shutuma alizotupiwa na Rostam, alisema amezisikia, lakini hana jambo la kusema.
“Nimesikia hiyo kauli (shutuma za Rostam), lakini kwa sasa sina cha kusema,” alisema Chiligati.
Lakini mwandishi alipotaka kujua kama shutuma hizo zinao ukweli wowote, alisisitiza “No comment” (sina cha kusema).
Chiligati alipotakiwa kuzungumzia hali ndani ya chama hicho ambayo kwa sasa inaokana ni tete, alieleza pia kuwa, hayuko tayari kuzungumzia suala hilo.
“Muulize msemaji wa chama (Nape Nnauye), ndiye ataweza kuzungumzia hilo,” alisema Chiligati.

Kombora la Sitta
Katika kuonyesha hali si shwari, kauli ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta juzi mjini Mbeya ya kutaka watu waliosababisha taifa kufikia hatua ya tatizo la nishati wawajibishwe kisheria inazidi kuongeza joto hilo.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa ndani ya CCM wanaonyesha kauli hiyo moja kwa moja inawalenga Rostam katika sakata la Richmond na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ambao hata tuhuma zinazowataka wajivue gamba zinatokana na kampuni hiyo ya iliyoifulia Tanzania umeme wa dharura.Juzi, Sitta akiwa Mbeya alisema Serikali inapaswa kuwaomba radhi Watanzania kutokana na tatizo la mgawo wa umeme, lakini akitia ngumu akisema, isiishie kuomba radhi bali waliohusika kulifikisha taifa lililpo wanapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria.

Kauli hiyo ya Sitta mmoja wa mawaziri wenye nguvu kubwa ya umma, alisema Tanzania siyo nchi inayopaswa kuwa na mgawo wa umeme, bali inapaswa kuzalisha na kuuza umeme nje, lakini imefikia mahali hapo kutokana na mikataba ya kifisadi.

Sitta, pia aliwahi kunukuliwa akisema Kampuni ya Richmond ilikuwa ni kampuni ya genge la watu watatu ambao waliamua kwa makusudi kulihujumu taifa.Tayari pia, wiki moja kabla ya kujiuzulu kwa Rostam, Sitta pia alimrushia kombora Lowassa katika dhana ya kutaka maamuzi akisema, hayawezi kufanyika katika mipango ya kupata asilimia 10 au kuingia mikataba ya kitoto.

Imeandaliwa Ramadhan Semtawa, Zacharia Osanga na Fredy Azzah, Dar, Habel Chidawali, Dodoma

[/TD]

Imeandaliwa Ramadhan Semtawa, Zacharia Osanga na Fredy Azzah, Dar, Habel Chidawali, Dodo
ma
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kama lengo lake lilikuwa kukaa na ubunge kwa miaka mitano, alaf ghafla kuna nguvu inamwambia ajivue gamba........unategemea kuwe na umoja wakat tayar alishafadhili miradi sana
 
Lazima kuwe na migongano kwa sababu wengi wa wabunge wa CCM walifadhiliwa na RA!! Sasa kaondoka wanajua hawana pa kukimbilia... Wanabaki kurusha vijembe!!
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"][/TD]

Nilikuwa nikifuatilia kwa umakini jinsi Rostam Aziz alivyoamua kununua vyombo vya habari nchini kuendesha kampaini za kimatope matope ili kuakikisha kundi lake linaweza kupata kiti cha urais. Siasa hizi zilimuasiri sana Mh. Wazir Mkuu Mstaafu F. Sumaye ambaye naye alikuwa na ushawishi mkubwa kwa nchi yetu kuweza kuiongoza, magazeti ya Rai, Mtanzania ni moja wapo ya magazeti haya, Mwanzani yaliwai kuzusha kuwa Sumaye anamiliki Trion Tisa na Nusu, watu tukajiuliza anawezaje kuiba pesa zote na nchi isifirisike? Baadaye wakasema ana heka nyingi kibaigwa ambazo amezichukua kinyume na sheria kumbe maskini zilikuwa ni kidogo tu na ni mradi wa mke wake. Akazushiwa kumiliki mashamba makubwa arusha na mengine mengi tu. Sumaye tukaona hafai ailikata tamaa kaenda kusoma wakazusha kuwa amehofu kukamatwa kutokana na hizi kashifa. Mizizi hii ya fitina ilienda hata kwa Dr. Salim. A. Salim waliyoyasema mnayajua nikiyapata kwenye neti nitayapost.
Muda wake ulipofika sasa ndiyo haya tunayoyaona, nasikia wote waliojifanya kulia na kusaga meno walipakiwa kwa mabasi yeye na Huseni Bashe kwenda kujifanya wanamlilia wakati anawaaga, na baadhi ya wazee uchwara wakajifanya wanambembeleza, kama kweli watupe orodha ya waliolia kamahutawakuta dar, huenda ni wafanyakazi wake wa Caspian
 
Nampongeza Saed Kubenea na gazeti lake MwanaHalisi kwa hatimaye kufanikiwea kumsukuma Rostam Aziz katika korongo. Hii imethibitisha nguvu ya kalamu (power of the pen) kwamba hata uwe na mali kiasi gani, au uiwezo kiiasi gani, mwishowe kalamu inakupeleka na maji.

Ni siri isyofichika kweamba RA na mwenzie EL ndiyo wahusika wakuu wa lile shambulizi dhidi ya Kubenea la kutaka kumuua/kumpofua macho. Kuna baadhi walikamatwa lakini mhusika mkuu alitoroshwa hivyo kesi dhidi ya wengine ikaanguka kutokana na kuvurugwa na Tibaigana aliyeyekuwa anatimiza matakwa ya akina RA. Haki ikatupwa gizani, na hadi leo Kubenea anahangaika na macho yake kwa kwenda kupata matibabu kule India mara kwa mara.

Lakini bila shaka anapata faraja kwamba mbaya wake kalazimika kujirusha korongoni, na yule mwingine anajifanya kichwa ngumu, lakini hakuna njia naye itabidi atokomee huko huko.

HONGERA KUBENEA, HONGERA MWANAHALISI.
 
Back
Top Bottom