Hapo penye blue sidhani kama was necessary. Unakiabisha hata chama cha Rostam alichokipenda mpaka kuamua kuvua nyadhifa zote lakini kubaki na kadi ya chama. Labda ni kukumbushe tu kuna wachaga muhimu sana ndani ya CCM akiongozwa na mzee Kisima (mshauri mkuu wa chama), Salakana, Mama Mkapa, Waziri Chami, Mama Sumaye, Mama Nsilo Swai etc sijui na wao je wako kujinufaisha wao kama wachaga na sio jamii nzima? Au hili panga la ukabila linakata upande mmoja tu. Hivi kwa lugha hizi za Nape & Co CCM inahitaji kweli majimbo ya Kilimanjaro miaka ijayo?
once again jf has proven 2 be reliable source. cause b4 we had alot of dought about dis.
Yet, he is still innocent!
Kwani ana nyadhifa ipi kwa sasa CCM. Wacha kudanganya watu.
Tatu, nilishangazwa na kushitushwa na ujasiri ambao umekuwa ukioneshwa na baadhi ya viongozi wetu wapya wa Sekretarieti wanaolitaja jina langu na kulihusisha na kile wanachokiita ufisadi ambao hata ukweli wa kimazingira na kihistoria ukiachilia mbali ushahidi wa wazi umeshathibitisha kwamba ni porojo za kisiasa zilizotokana na makovu na matarajio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005 na ule ujao wa 2015.
Napenda kuliweka hili sawa sawa. Uamuzi wangu wa kuachia nafasi zangu zote za uongozi nilizopata kwa tiketi ya CCM haukutokana na wala haumaanishi kukubaliana na shinikizo lililopotoshwa kuhusu azma ya utekelezaji wa dhana ya kujivua gamba, la hasha, bali dhamira ya dhati ya kuachana na siasa hizi uchwara (gutter politics) na kutumia muda wangu kushughulika na biashara zangu.
Aidha, nimefikia uamuzi huo lengo likiwa ni kuwajengea heshima na imani machoni mwa wanachama na wananchi wengine, viongozi wangu ambao naamini baada ya mimi kujitoa watapata fursa ya kutafakari upya changamoto nyingine mbadala zinazowakabili ambazo msingi wake ni dhamana kubwa walizo nazo za kukiongoza chama chetu na nchi yetu kupitia Serikali yake.Wakati nachukua uamuzi huu, natambua vyema kwamba, watatokea watu ndani ya chama chetu na nje ambao watafanya kila juhudi kupotosha au kupindisha ukweli kuhusu hatima yangu ya kisiasa baada ya kujiweka kando na kujipa mimi mwenyewe na chama changu fursa ya kutafakari kwa kina majaaliwa yangu na ya nchi yangu katika siku zijazo.
Vp mafao ya ubunge kwa miezi tisa ni sh ngapi?Kuanzia Leo Rostam Aziz ataendelea kuitwa Mh Mbunge Mstaafu wa Igunga.
Mkuu ukisikia ''KUKURUPUKA'' ndio huko, wanadandia tu treni bila kujua linatoka wapi linaenda wapi, na hiyo taarifa imeandikwa Kiswahili....ingekua KIINGLISHI??? ......ila nahisi uchangiaji ungepungua coz nani angekua tayali kuonekana KAYUMBA, tena mie ningejibanza na dikshonari yangu kutafsiri, ya kujibu au kuchangia ningeDESA kwa nani??....hahaha!Vichwa vya JF hivi, hawa wote wamechangia hii habari pasipo kuisoma vizuri ingawa habari inaelezea vyema juu ya yeye kuachia Ubunge hawa bado wanauliza juu ya swali hilo hilo?!
Maswali ni mengi kuliko majibu na hizo siasa za Uchwara ndani ya CCM!!! Tuamini hivi hivi tu kuwa hajapewa barua ya kumtaka ajiviue gamba kabla hajashughulikiwa? Kwa nini ameamua sasa na sio wakati ule alipopigiwa sana kelele? ana hofu ya nini huyu jamaa? Nini kinafuatia kama ameza kuona kuna uchwara ndani ya chama chake mwenyewe ?
Umeeleweka, however kuna wengine utawahukumu kwa kutosoma post yako au kutofungua page ya post hii kwa sababu si kila mtu anafungua pg zote au anasoma post zote, lakini umeeleweka.Folks,
1. Do not copy the whole speech when quoting or responding to one part of the speech. Just copy or quote what you want to respond to. All members have an equal access to the full speech in the first post.
2. Do not copy the names of the members visiting the thread, be it one or 1000; all members have the same access to see the names and the number of people visiting the thread.
If you somebody contravene the above he/she will face a ban - no explanation will be given. We have to consider that quite a good number of our members visit the site through mobile devices.
For Admin.