Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Nimesikia redioni clouds Kibonde anatangaza sasa sina uhakika ukichukulia mtangazaji keenness Kibonde. MWENYE Habari Kaniki I mean Kama kuna mtu alikuwepo kwenye hicho kikao atujuze basi

Kweli huyo ndio kesha achia nafasi hizo,lakini bado mengi yatafuata,manake ukinganganizi wake na marafiki zake umeiponza CCM kwenye jamii.Tena wakati anatangaza imesikika kwenye taarifa ya habari CLOUDS kama alikuwa ANAZOMEWA hasa aliposema anaachana na SIASA UCHWALA.
 
Awajibishwe, huyu mtu katuibia bwana. Apelekwe mahakamani la sivyo tutawawajibisha hata uzao wake huko mbele ya safari. Historia haitafutika kuwa alituibia tukawa maskini sana , tukakosa umeme, maji ., barabara etc
 
Dah safi sana sasa naona adabu zitawakaa hawa CCM Mana wanataka watupeleke kusiko. Giza totoro,Maji shida,miundombinu mibovu,ushuru unapanda kila kukicha,
 
MOD tunaomba mtusaidie kuna vilaza kazi yao ni kukopi current user na kuweka hapa! Wanakera hakuna asiyeweza kwenda na kuona users chini ya thread! Wanakuwa kama wadwanzi bwana lol
wanakera sana nao wanapenda waonekane wamechangia wawe wanapigwa ban tu
 
=threadcritic;2223726]Either way some of us have still believe no matter how much minority we are, still believe in the presumption of innocence after all the United Republic of Tanzania isn't ruled by laws of the jungle. Unless anyone has a court ruling that found Rostam is gulty of the alleged wrong doings
This comes from none other than Rostam himself!
 
Mkuu unapenda utani

Julius Nyerere

Sokoine

Dr Slaa

etc etc etc

Siamini kama umepokea bahashga ya khaki kutoka kwa Gambas

Kati ya hao nani aliwahi kuwalaza watanzania gizani na kuwapeleka vyovyote anavyotaka kama vile kawaoa???

Kama yupo nidai bingo!
 
Rostam-Aziz.jpg
I'm sorry to say this lakini kila mtu anajua kuwa Independent thought is not a concept with which very many JF members...aka "GREAT THINKERS" are familiar or comfortable. Most here want to have their emotions stroked, to be told what they want to hear. They already know what they think. A different breed of JF member aka INDEPENDENT THINKER's A writer’s job is to validate it, and if the poster doesn’t, he is, depending on the ideology of the reader, a misogynist, a greeno CCM commie, or an operative for the JK establishment. All will agree that he is a no good SOB.

Either way some of us have still believe no matter how much minority we are, still believe in the presumption of innocence after all the United Republic of Tanzania isn't ruled by laws of the jungle. Unless anyone has a court ruling that found Rostam is gulty of the alleged wrong doings
Haya ni madhara ya shule za kata. Kwa nini usiandike tu kiswahili kuliko hicho kiingereza chenye makengeza?
 
Wazee wangu, sina budi niwaeleze kwamba, mbali ya athari za kisiasa na kifamilia, vita vya ovyo vya kisiasa kama hivi tunavyoviendesha na kuviendeleza ndani ya CCM na ndani ya nchi yetu huwa vina athari kubwa katika ulimwengu wa kibiashara. Athari kama hizo za kibiashara huingia ndani zaidi kuliko vichwa vya habari vya magazeti vinavyolenga kuchafuana, na athari hizo huwa kubwa zaidi kwa mtu kama mimi kwa sababu tofauti na wengine wengi hapa nchini, mimi ni mfanyabiashara wa kimataifa.

Tutaomba Brela watusaidie kama kweli yeye ni Mkurugenzi wa kampuni yoyote hapa Tanzania, kwa taarifa zilizokuwepo haonekani popote kuwa ni mfanyabiashara
 
ooooooooooooooooh you mean the opposite of INNOCENT

STILL WE NEED MORE TIME THE VOICE OF THE PEOPLE TO PROVE THE OPPOSITE OF INNOCENT MEANING.
 
****** mjanja kweli, kawatosa jamaa zake sasa Igunga kwa CHADEMA.
 
There is no point whatsoever at all to accord innocence to these grand thieves and eminent embezzlers of our wealth who resign after satisfying themselves with dirty-blood stained money of the poor of the poorest!

If it were in a country that knows what it is true accountability, Rostam would start a brand new chapter in court to prove his innocence. But in a place where justice is cheaply bought like in Tanzania Rostam goes out undisturbed after all you will not surprise to hear soon or later Rostam being congratulated and even grieved by some headless politicians and the laity!

We are still far from accountability and truth. Difficult decisions await us before we stop wasting our precious sweat to those we foolishly entrust leadership and robers like Rostam. Chenge, Lowassa, and many more


Do you agree that the accused must be presumed to be innocent until his guilt is established by legal and competent evidence beyond reasonable doubt ?
 
Nijuavyo mimi ma-interllectual huwa hawaelewi ki-urahisi! Na mimi naomba kusema namkubali huyu jamaa.... Time Will Tell.
 
wanakera sana nao wanapenda waonekane wamechangia wawe wanapigwa ban tu

Mhuuu Mkuu sasa umezidi, wapigwe Ban kwa kosa gani? Hawa wanawasaidia pia wanaotumia simu ili nao waweze kuona current user
 
Nimeisoma Hotuba ya Rostam na kuitafakari vizuri sana hatma ya maamuzi yake...
Bila shaka yaonyesha kazi nzuri imefanywa na Uongozi mpya ambao kwa mchezo wa Kibongo wamemzunguka Rostam na wenzake. Hongera Chiligati na Nnauye, hakika leo nimewaaminia kwa kazi yenu kutokana na kauli za Rostam kushangazwa na maamuzi ya uongozi mpya wa chama.

Sina uhakika kama aloyasema yote ni ya kweli lakini kama kweli amejiuzuru bila kupenda na kamalizia kwa maneno haya:- Napenda kuliweka hili sawa sawa. Uamuzi wangu wa kuachia nafasi zangu zote za uongozi nilizopata kwa tiketi ya CCM haukutokana na wala haumaanishi kukubaliana na shinikizo lililopotoshwa kuhusu azma ya utekelezaji wa dhana ya kujivua gamba, la hasha, bali dhamira ya dhati ya kuachana na siasa hizi uchwara (gutter politics) na kutumia muda wangu kushughulika na biashara zangu.


Hapa ndipo napomalizia na kusema JK kweli msanii maana kawazunguka Boyz 2Men, na mwisho wa siku kawaondoa wote na kabakia pekee mjengoni. Lakini kwa kumtahadharisha tu afahamu kwamba kazi ya kummaliza yeye kama wale waliotangulia na kuandika historia mpya nchini NDIO INAANZA RASMI!. Nyoka kujivua gamba sii hoja, sumu yake inabakia palepale. Hivyo, ukitaka kumuua nyoka lenga kichwa! na waganga wa kienyeji wanasema - Sumu ya nyoka hutibiwa na magamba yake!.
What next! yangu machoo....
 
hata osama is/was innocent, but i still wonder why america was after him.
 
one down ... two to go. sasa ndo wakati wa kufanya maamuzi magumu unaanza kwa JK na dola yake. RA is not clean at all. na wala huitaji ushahidi wa ajabu kum-convict. kama kweli wanataka 'kuonesha' kutumikia waTz, wamshitaki huyu jamaa ambaye alijiona invisible hapa Tz. ukimsoma vizuri, hana chochote. he is such a weak person. watu kama hawa ndo ukimtia ndani kesho yake yuko mahututi pressure visukari cardiac arrest na kila kitu. sioni alikuwa anaogopwa nini huyu jamaa. but all and all, the winners are Tanzanians ambao wameonesha kuwa nchi hii ni yao na pressure kidogo tu watawala watachemsha.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
mmmmmh anamsaidia rafiki yake kikwete. Huyu bado yupo ila now ni silent mode.
 
Back
Top Bottom