DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,686
I doubt whether they will respond to this! Ni kweli wana gutter politics kwani kakosea nini? Leo unataka umtetee Nape na Chiligati?? Kuondoka kwa huyu jamaa ndani ya chama ni pigo kubwa kwani ndiye aliyeratibu kuingia kwa Kikwete ikulu. Nape hana jipya na hawezi kukisaidia chama zaidi ya kukibomoa. Kikwete naye angejiuzulu ili tuanze upya maana CCM is rotten!
Sometimes kuna wana JF hawawajui CCM,Nilipata kuwambiwa wana JF hiki ni CHAMA CHA MAPINDUZI,daima CCM kwenye FAUL zote wao daima neno MAPINDUZI huwa linachukua mkondo wake haswa ukiwa ni yule kichwa maji.
Wanatabia ya kubembelezana sana,kwa misingi HUYU NI MWENZETU,kama una akili wakikwambia kaa pembeni kwenye Soo [Scandal] yoyote inapotokea dhidi yao,ni vyema ukastep aside watajua jinsi ya kutetea mbele ya safari,kwani nia yao ni FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE.Ole wako uwe KICHWA MAJI na UBISHI USIOKUWA NA BUSARA,hapo ndio UTAWAJUA CCM,watakachofanya uwezi amini yani ni wale uliokuwa nao jana kula na kunywa nao.
Nilisema zama hizo kuwa RACHEL kwa CCM si chochote TIME WILL TELL,kwa CCM bado RACHEL wanamziki mnene sio ngoma ya watoto.Hapo ndio unawapenda CCM,hawaangalii LEO TU.