JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 83
hosea angekuwepo angefanya nini?kwani hosea alikuwa wapi?
hosea angekuwepo angefanya nini?kwani hosea alikuwa wapi?
tena ianze na mzee wa vijisenti na mkewe loolumefika wakati wa kutunga sheria itakayo-control fedha zetu, yaani iwe ni marufuku kuhifadhi fedha katika benki za nje ya nchi!
kama wale wamama walojitia aib wkt jamaa anajivua gamba ningekuwa mkaazi wa huko igunga ningewavzia hata kichochoron niwapopoe mawe,yaani huyu kuchkuch katupora hela zetu af wao wanamlilia shenztypebaadaye tutaambiwa "the guy is seriously sick" kisha yupo kwenye coma... Kisha amefariki...na amechomwa na majivu yake yatatupwa baharini na baadhi ya majivu kurudishwa igunga...ambapo kwenye msiba wa majivu bandia baadhi ya watu wa igunga watazimia... Sanaa et all...
hata walioko resolute mgodini.Mlioko Vodacom kaeni macho, Rostam akitoa hela zake mmeliwa na manyoya! poleni wadau.