Rostam atimkia Ulaya

Baadaye tutaambiwa "THE GUY IS SERIOUSLY SICK" kisha yupo kwenye COMA... kisha amefariki...na amechomwa na majivu yake yatatupwa baharini na baadhi ya majivu kurudishwa Igunga...ambapo kwenye msiba wa majivu bandia baadhi ya watu wa Igunga watazimia... SANAA et all...
Halafu kwenye "mazishi" yake tutaambiwa tuende kwa kadi ya kiingilio!
 
Katika Gazeti la Mwanahalisi Ukurasa wa mbele umeandika "Rostam ajichimbia Ulaya". Imenikumbusha miaka ambayo CCM walisema "hawa wapinzani wanataka kuleta vita, ikianza wao watakimbilia nje".

Sasa wakati umewadia. Leo waliofilisi nchi yetu wameanza kutimka. Badi JK, Lowasa, Chenge, Hosea, Riziwani ....

Kumbe hawakuwa wanamaanisha wapinzani bali walimaanisha wao wenyewe

QUALITY

Subilini kutangaziwa kifo cha ajabu ajabu mtaambiwa amefariki dunia gafla kwa shinikizo la damu.
 
yaani ameamua kujiondoa maana anazidi kuvimbewa tu...kala kweli kweli
 
Ni pigo kubwa kwa Saidi Kubenea sijui sasa atauza habari

Tunaongelea mtu aliyevuna asichopanda afu akaondoka zake kwa mwendo wa taratibu wakati wenye mamlaka ya kumshughulikia wakimchekea...Akina Kubenea walikuwepo,wapo na watendelea kuwepo as long as we live skendo za kitapeli haziwezi kuisha kamwe..
 
Ni pigo kubwa kwa Saidi Kubenea sijui sasa atauza habari

Mbona bado habari zipo nyingi za wanamagamba sasa atahamia kwa David Jailo, Nape, Chenge.

Hivi kampeni meneja wa JK 2010 yule msomali yupo wapi?
 
Mbona bado habari zipo nyingi za wanamagamba sasa atahamia kwa David Jailo, Nape, Chenge.

Hivi kampeni meneja wa JK 2010 yule msomali yupo wapi?

Msomali aliruhusiwa kuvusha pembe za ndovu na sasa anakula bata ulaya.Mtakoma wabongo endeleeni kushabikia CCM
 
kama atakuwa amekana uraia wa tanzania, vipi kuhusu hisa zake vodacom(T) ambazo mashariti ya uwekezaji yanataka awe Mtanzania mzawa?
 
Mda si mrefu utasikia Balali(rostam) amekufa.Atazikwa hukohuko,hahahaha Serikali yetu bhana
 
RA si mfanya bishara jamani. Kwenda kwake ulaya kwa nn iwe news.? Au ni mara ya Kwanza RA kwenda Ulaya?

Ina maana katimka hatarudi au kaneda kupunzika na kuandaa strategy za yatayofuata.?
 
Hata kama akikimbilia Siberia tutamfata huko huko asubiri serikali ya kizalendo iingie madarakani tutauza mali zake zote alizokuwa nazo na zile alizowapa ndugu na jamaa na marafiki. Labda ajifunze kwa President Ben Ali wa Tunisia, Hosni Mubarak wamefilisiwa mpaka wengine wamepatwa na kiharusi (stroke). Yeye na rafiki yake Lowassa na Chenge waombe mungu CCM itawale daima kwani wakija wengine patakuwa hapatoshi hapa duniani labda wahamie Mars, au Jupiter.
 
Na wale watu wa Igunga waliokuwa wanajifanya kuzimia.......? (wabongo bwana). Kwanza ilikuwa kosa kubwa sana mtu mgeni kama rostam kuwa na madaraka makubwa sana katika nchi yetu. Watanzania sijui huwa hatuna elimu ya msingi kuhusu ujasusi; kuna bwana mmoja alikuwa raia wa israel anaitwa Eli Cohen. Waisrael walimpadikiza nchini Syria kwa jina la kiarabu, akawa na marafiki wengi nchini Syria hadi akafanya urafiki wa karibu na wakuu wa kijeshi na serikali wa Syria. Ilifikia hadi akawa na access na siri nzito sana za kijeshi, mipango ya vita, silaha mpya zilizonunuliwa na technologia yake na akafahamu maeneo muhimu ya kambi za kijeshi. Hizo siri zote alikuwa anazituma nchini kwake Israel. Of course baadae waSyria walimshtukia wakamyonga. Lakini unajua ile vita ya 1967 ya Israel na Waarab yaani Israel aliipiga Syria kama vile inapigana na Tanzania. Kila strike iliyokuwa inatumwa na israel ilikuwa inalenga target kwa sababu walijua siri zote walizokuwa na wanatumiwa na Eli Cohen.

Sasa hapa nchini tulimkaribisha Muiran (kuwakaribisha wageni na kuwatunza si vibaya) lakini hadi anakuwa mtunga sheria? Hadi anakuwa member wa NEC wa chama tawala? Na kuwa mtunza hazina wake? Na kuwa strategic planner wake? Too stupid to be true. Na hiki ndio chama kinachoongoza serikali. Haki ya nani leo hii tukipigana vita na nchi yoyote hapa East Africa wanatuchapa tu. We are too foolish to win anything.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom