Rostam atimkia Ulaya

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Katika Gazeti la Mwanahalisi Ukurasa wa mbele umeandika "Rostam ajichimbia Ulaya". Imenikumbusha miaka ambayo CCM walisema "hawa wapinzani wanataka kuleta vita, ikianza wao watakimbilia nje".

Sasa wakati umewadia. Leo waliofilisi nchi yetu wameanza kutimka. Badi JK, Lowasa, Chenge, Hosea, Riziwani ....

Kumbe hawakuwa wanamaanisha wapinzani bali walimaanisha wao wenyewe

QUALITY
 
Umefika wakati wa kutunga Sheria itakayo-control fedha zetu, yaani iwe ni marufuku kuhifadhi fedha katika Benki za Nje ya Nchi!
 
Mbona Rostam ashatukula zamani tu. wakati mnafurahia yeye kujiuzulu, mwenzenu alishapata kila alichokuwa anakitaka tanzania sasa ni kula bata ulaya kwa kwenda mbele.
 
arudishe fedha zetu kwanza ndio atimke!!!! halafu rosemarie unazidi kunitia hasira maana ukweli unauma, kweli wajinga ndio waliwao hapa ndio tumeshaliwa tena.
 
Ni pigo kubwa kwa Saidi Kubenea sijui sasa atauza habari
 
keshachuma hela za kutosha
wajinga ndio waliwao
mnahangaika na wahindi hamjui wanalotaka
mitakataka

Patamu hapa..kondoo wa magamba anapogeuka chui ndio basi tena hapo tumeibiwa mno hadi kondoo anamua kujibadilisha gamba..
 
barua ya kuacha ubunge alishakabidhi mamlaka husika? nahisi harufu ya mvutano wa tafsiri ya kanuni za kudumu za bunge unakuja, lengo kuchelewesha au kutoitisha uchaguzi mdogo igunga, fuatilieni
 
Baadaye tutaambiwa "THE GUY IS SERIOUSLY SICK" kisha yupo kwenye COMA... kisha amefariki...na amechomwa na majivu yake yatatupwa baharini na baadhi ya majivu kurudishwa Igunga...ambapo kwenye msiba wa majivu bandia baadhi ya watu wa Igunga watazimia... SANAA et all...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom