klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
mimi nitakuwa nakwenda kugonga senks tu halaf nalejea chit chat. ile sredi wameifuta kwasababu wamegundua kwamba hilo jukwaa linaboa kweli. huyo husninyo wenyewe aloanzisha sredi anaboa vile vile lakini tunamgongea senksi kwavile tuna maslahi binafsi na yeye tu.MMU Kwishney!!! Leo hakuna kitu kabisa kule kumepoa.
Halafu thread ya MMU inaboa imekwenda wapi??
asavali, maana nilikasirika kweli hata dena amsi anajua.samahani kweli nimekushushia heshima.....hutaniona tena...i promise!!!
mkuu mambo ya Man sijana? huyu dada sijamuona zaidi ya mwezi sasa
. huyo husninyo wenyewe aloanzisha sredi anaboa vile vile lakini tunamgongea senksi kwavile tuna maslahi binafsi na yeye tu.
hapa napita tu.....
grammar hairuhusu kuweka kweshen marks nane na alama za mshangao nne kwenye post moja. haujambo wewe mrembo?????
????
!!!!!
grammar hairuhusu kuweka kweshen marks nane na alama za mshangao nne kwenye post moja. haujambo wewe mrembo?
hehehe husninyo bana! acha nifilisike tu lakini lazima nifike dodomasijambo sharobaro klorokwin.
Maji ya babu hayahitaji mrija. Sawa eeh!
hehehe husninyo bana! acha nifilisike tu lakini lazima nifike dodoma
hapa napita tu.....
heheh ushahama tandale? gesti za tandale zinaharibu ngozi bana, yaani unakwenda gesti uvae overall kama unakwenda gerejiKloro nakusubiri room 108.....usichelewe basi...manake mashalobaro hamjui ku-keep time!!!
halaf michelle akilog out nitakuwa na maongezi na wewe.nishakuandalia dompo.
acha dharau miaka yote saba....leo ndo unajua zinaharibu ngozi? sasa ole wako uchelewe zaidi...muone kwanza :smash:heheh ushahama tandale? gesti za tandale zinaharibu ngozi bana, yaani unakwenda gesti uvae overall kama unakwenda gereji
Husninyo,leo si log out.....:washing::hatari:halaf michelle akilog out nitakuwa na maongezi na wewe.
naskia Ben yuko na malaria +5 imempanda kichwani mida hii, na inasemekana source ni ile date yenu ya hizo gesti za uswahilini. sikuji labda unibakeacha dharau miaka yote saba....leo ndo unajua zinaharibu ngozi? sasa ole wako uchelewe zaidi...muone kwanza :smash:
Husninyo,leo si log out.....:washing::hatari: