Rose,Peter,Diana,Joseph,Juma,Shabani........

No this is not fair! There is no correlation between our names and behavior, at least kwa sisi watu wa mjini!!!! Kwa watu wa kijijijini, labda!
 
Eiyer,

Hii thready imeniletea ugomvi na kutokuelewana na spouse wangu. Jina langu ni moja kati ya hayo majina hapo juu! Please wana JF, clear the air, sitaki kuachwa, Christmas imekaribia, abiria chunga mzigo wako!
 
Piga ua, mambo yote ni kwa kina Emmanuel, huwezi amin videm hujipeleka vyenyewe. Diana, Rose NI VICHECHE ALWAYS!
 
Okada,pole but unatakiwa uprove wrong mahabuba wako kwa kuwa mwaminifu kwake,hakuna atake kusaidia kuwa mwaminifu tofauti na wewe mwenyewe!
 
Back
Top Bottom