Rose,Peter,Diana,Joseph,Juma,Shabani........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rose,Peter,Diana,Joseph,Juma,Shabani........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 23, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Inasemekana wenye majina hayo na mengine mengi huwa ni vicheche na hawatulii na wapenzi wao,sijui kuna ukweli kwenye madai haya!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli utafanyaje?!
  Kama sio kweli utafanyaje?!

  Mi namjua Shabani alihamiaga shuleni kwetu darasa la nne...miaka 12 sijui na tatu alikua ameshaanza mapenzi kwahiyo labda!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kuna diana namjua kicheche
  na diana mwingine namjua katulia sana

  the same kwa rose...

  But peter wote vicheche.....

  Na wengine....
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Lizzy bwana,umenivunja mbavu!
   
 5. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama jina linaweza mfanya mtu kuwa kicheche......NINAHISI KAMA NI TABIA TU YA MTU, NA YEYOTE ANAWEZA KUWA KICHECHE..... Hayo ni mawazo yangu tu lakiniiii
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Njoo nikukande kande zipone haraka!!
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kumbe rev.,mimi na cpu wote tulichelewa ? Shabani chiboko hahaha!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  mimi najua mvulana mara nyingi hutembea na wasichana ambao ni wadogo kwake ki umri!! sasa kama huyu dogo alianza mambo ya malavidavi akiwa na huu umri alikuwa anafanya na kina nani? walimu au nyinyi hapo ambao mlikuwa an miaka 7 na 8?
   
 9. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Majina? Ila tena ukisikia Maria ni balaa!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Nakuja,lakini nanii hayupo?
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhaahahah dearest usinitafute uchokozi!!!Nlivyokua simpendi....
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilichosikia ni kwamba alupokuwepo kabla alikua anatoka na wakubwa wake....alivyohamia kwetu akaanza kumuandikia rafiki yangu kipenzi barua za mapenzi sisi tulikua na miaka10!!Siku tulivyogundua mwl akatukamata na ile barua ikamfikia mama yake akachapwa kwanzia siku hiyo rafiki yangu akarudi kwenye mstari maana alishaanza kubadilika!!Sijui Shabani alimdanganya nani baada ya hapo!
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Mi najua wenye majina ya Eiyer
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yuko anaoga....
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nipo,lakini si unakandwa tu au umeelewa vipi ?
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Mi najua wenye majina ya Husninyo!!!!
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hizi details zinanitia wasiwasi lol!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhaahahaha...haya niambie wasiwasi gani niuondoe dearest!
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Inabidi ufanye fasta,maana najua jamaa anacheza karate!!
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Spanish lady FN analalamika husemi ndio wala hapana unamchanganya.mia.
   
Loading...