Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

Nafikiri uko kwenye evolution stage.unatoka kwenye dini unaelekea kwenye IMANI ambayo ndiyo msingi wa mahusiano.
Watu wanadhani katika dini tunapata imani,ila kumbe katika IMANI ndo tunapata dini.
 
Dah unazikumbuka vizuri nyimbo zake. We itakua sio muislamu kiviiile.
 
Huyu mama ana balaa.....
Ni aibu wabongo tulifurahia anguko lake, i dont care anachoimba ni gospel au lah but ana balaa.
 
Kama ukristo ndo dini ya kweli mbona kuna waislamu 1.8b duniani, kwanini na wao wasimuone yesu kitandani kama rose?

Tuwe tunajiuliza haya maswali
Kama islamic ni dini ya kweli, mbona kuna wasio waislamu 5.2b duniani, kwanini wasimuamini Allah kama hao 1.8b?

Tuendelee kujiuliza haya maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…