Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G Secret Agenda yatikisa soko

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G huku akitajwa kuwa ni msanii namba moja wa injili kwa sasa Tz

Album yake ya Secret agenda imetikisa kwa kufanya vizuri sana sokoni huku akineemeka kwa mamilioni ya viewers huko Youtube

Nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa ni Secret agenda iliyobeba jina la Album, Tuipakue, Siki na fongo na nyimbo inayoitwa "Kama mbaya mbaya tu".

My take:Sikuwahi kuamini msanii akiporomoka kama anaweza kurudi kwenye chati hivi, huyu mwanamama ana karama ya kipekee kuna la kujifunza kutoka kwake na wasanii wengine wote ambao ndo wanataka kurudi kwenye game

Rose muhando ni msanii pekee ambaye alipotea kwenye game ndo amerudi na moto ule ule na kubaki namba moja....
 
Rose Muhando ndie Diamond wa nyimbo za Dini huwa hayupo serious tu. Hakuna mwimbaji passionate na kazi yake, mwenye talent kubwa na creative kwenye nyimbo za dini kama yeye.

Nimeiona nyimbo yake moja nikaona the real Gospel is back.
 
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G huku akitajwa kuwa ni msanii namba moja wa injili kwa sasa Tz

Album yake ya Secret agenda imetikisa kwa kufanya vizuri sana sokoni huku akineemeka kwa mamilioni ya viewers huko Youtube

Nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa ni Secret agenda iliyobeba jina la Album, Tuipakue, Siki na fongo na nyimbo inayoitwa "Kama mbaya mbaya tu".

My take:Sikuwahi kuamini msanii akiporomoka kama anaweza kurudi kwenye chati hivi, huyu mwanamama ana karama ya kipekee kuna la kujifunza kutoka kwake na wasanii wengine wote ambao ndo wanataka kurudi kwenye game

Rose muhando ni msanii pekee ambaye alipotea kwenye game ndo amerudi na moto ule ule na kubaki namba moja....
Nimefuatilia hii trend ila bado haireflect kwenye mauzo. Kutrend au kufanya vizuri sio factor katika mauzo ya kazi za sanaa.
 
Pongezi sana mtoa post natambua wewe ni muislam lakini umekubali kazi za huyu msanii, hii inaonesha maana halisi ya sanaa,inagusa watu wote.

ukweli ni kwamba rose mhando ni msanii mzuri sana, huko kenya anakubarika vibaya mno kutokana na kazi zake nzuri.

lakini kwenye suala la mauzo naweza nisikubaliane na wewe. Wasanii wetu hawana namna nzuri ya kusambaza kazi zao ili ziwaletee faida kubwa.

mitandao kama boomplay na youtube ambayo hutumika zaidi nchini wataambulia umaarufu tu na sio mauzo makubwa.

ni vyema wasanii wetu watazame namna mpya wanayoweza kusambaza kazi zao ili ziwalipe zaidi.
 
Ukiangalia uimbaji wa Rose, bado hajaelewa vizuri ukristo wa upendo ni nini,
Haachi aongozwe na love...huu sio ukristo sahihi
 
  • Nzuri
Reactions: Avs
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G huku akitajwa kuwa ni msanii namba moja wa injili kwa sasa Tz

Album yake ya Secret agenda imetikisa kwa kufanya vizuri sana sokoni huku akineemeka kwa mamilioni ya viewers huko Youtube

Nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa ni Secret agenda iliyobeba jina la Album, Tuipakue, Siki na fongo na nyimbo inayoitwa "Kama mbaya mbaya tu".

My take:Sikuwahi kuamini msanii akiporomoka kama anaweza kurudi kwenye chati hivi, huyu mwanamama ana karama ya kipekee kuna la kujifunza kutoka kwake na wasanii wengine wote ambao ndo wanataka kurudi kwenye game

Rose muhando ni msanii pekee ambaye alipotea kwenye game ndo amerudi na moto ule ule na kubaki namba moja....
Ni msanii mwenye kipaji lakini pia ana hulka ya kupendwa sana na kukubalika, kwa sasa nadhani Kenya anakubalika zaidi kuliko hata TZ pia Rwanda, Burundi na Eastern DRC wanamuelewa sana. She has a very special charisma.
 
Pongezi sana mtoa post natambua wewe ni muislam lakini umekubali kazi za huyu msanii, hii inaonesha maana halisi ya sanaa,inagusa watu wote.

ukweli ni kwamba rose mhando ni msanii mzuri sana, huko kenya anakubarika vibaya mno kutokana na kazi zake nzuri.

lakini kwenye suala la mauzo naweza nisikubaliane na wewe. Wasanii wetu hawana namna nzuri ya kusambaza kazi zao ili ziwaletee faida kubwa.

mitandao kama boomplay na youtube ambayo hutumika zaidi nchini wataambulia umaarufu tu na sio mauzo makubwa.

ni vyema wasanii wetu watazame namna mpya wanayoweza kusambaza kazi zao ili ziwalipe zaidi.
She is my favorite singer.....I used to listen her song everday..Mimi nyimbo zake zote zipo kwenye playlists yangu....
 
Back
Top Bottom