LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,902
- 41,471
nchi ya chama kimoja na vitawi vyake kwa majina tofauti!!!Usiwe na shaka hata Mimi naelekea kuhamia.
nchi ya chama kimoja na vitawi vyake kwa majina tofauti!!!Usiwe na shaka hata Mimi naelekea kuhamia.
Hahahaha... Ninyi ndio mnaoenda kuabudu kwa manabi kisa kangusha mtu na pepoBasi kuanzia sasa marufuku kusikiliza nyimbo zake na mimi. Na mcd yake naichoma au kuifuta kuanzia leo
punguza povu mkuu,sasa kila mtu ni mwanachama pale. hutaki? utaingia tu ili mambo yako yaende freshSinunui tena kanda zake.
ni nchi ya chama kimojaNa usipokuwa na kadi yao tegemea kusumbuliwa sana na takukuru, na kesi kuwa sio raia, hii ndo tz yetu iliyobarikiw maajabu ya kila Namna, bt all in all ukitenda jema litazaa tuu, na ukitenda baya pia litazaa tuu, it's a matter of time.
kama ni kuunga juhudi kuna haja gani ya kuwa na vyama vya upinzani? Itapendeza zaidi vife kibudu ijulikane tu hii ni nchi ya chama kimoja cha siasa.Kuunga juhudi![]()
![]()
![]()
![]()
Leo ni Rose na wengine pia wamo na wanataka kupata viti maalumu kupitia chama hiki.Tuseme kila star Wa nchi hii ni mwanachama Wa hiki chama.Wachache wameonesha ni wapinzani,hata hivyo hawana msimamo wanatangatanga tuView attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
mtaaniAjiunga akitokea kanisani au chamani?
mbona wapo kibao tu Wa Aina yake? wanabadilisha fani kwa kutumia umaarufu waoBaada ya kuugua muda mrefu na kuona biashara ya injili hailipi tena.
Yuko sawa amechanga vema karata zake kiukabili ukata uliokuwa umepiga kambi kwake.
Swali: katoka chama kipi?
Nyie waimba injili ni nani aliyewaloga hata mkatamani kuwa wanasiasa? Mbona mnakimbia huduma Mungu aliyowapa? Sasa mtawezaje kumuimbia Mungu huku mnaimba na siasa? Mbona mnawakwaza wasikilizaji wa nyimbo zenu za Injili? Kwa hiyo mmechagua kuitumukia siasa? Mmebadilika kuwa wanasiasa? Injili mmemuachia nani?View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
Yupo sana ila vyuma vimekaza na kujiunga ccm ni kuweka grisi vyuma visije kuvunjika!ivi huyu mtu yupogo kweli
Kwani huyo dada naye alikuwa Chadema?Chadema wanakimbiwa
Muulize dingi yakoKwani anamzidi Kingunge N Mwilu?