Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Ili apate ngada kwa bei rahisi, sio ndio kuna ma-supplier huko. Maana kwa huyu jamaa alivyowakalia wapinzani kooni kwa roho mbaya, kungekuwa ma muuza unga Chadema tungeshamjua zamani sana.
 
Huyu ndio yule mbunge ambae mwenyekiti kasema anakuja na madiwani saba!?!?
 
afadhali sasa ana uhakika wa kupata kete za unga,kale kabilioni 8 sijui wamempa ngapi? ka laki tano kanatosha tu kupata stimu zake zile
 
huyu si alishaanzishiwaga uzi anapiga unga ma sitasahau alipomsifiaga Ali kiba kama kwahio sishangai na alishausishwa na dini ushetani
 
Ana lipi jipya analoweza ifanyia siasa uyu naye zaid ya ushangingi tu! ebu aende uko mpuuz tu mwingine uyu
 
Kuanzia leo naslimu na kuwa mccm..
jiunga kama unataka mambo yako yanyoroke.juzi tulipeleka viazi mjini basi kwenye fuso tulifunga bendera za ccm zikawa zinapepea kweli nakwambia njiani tulikuwa tunapita kama msafara wa raisi,polisi wanatupungia tu mikono hadi chalinze
 
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.

SOURCE: UKOMBOZ BLOG
Baada ya kuugua muda mrefu na kuona biashara ya injili hailipi tena.
Yuko sawa amechanga vema karata zake kiukabili ukata uliokuwa umepiga kambi kwake.

Swali: katoka chama kipi?
 
Back
Top Bottom