balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,880
- 13,932
Sasa chadema wameingiaje hapo?
Chadema wanakimbiwa
Chadema wanakimbiwa

Wakati unasikiliza alikuwa chama gani?Basi kuanzia sasa marufuku kusikiliza nyimbo zake na mimi. Na mcd yake naichoma au kuifuta kuanzia leo








Kumendea kuingia ToTKuna vitu vingine vya ajabu huyu naye ana impact gani huko sisiem,hadi akijiunga iwe habari.
Oh basi sawa ngoja tukae mkao mpya wa kusikiliza remix ya 'sisiem mbele kwa mbele'Impact yake ni kumendea kuingia ToT
Usiwe na shaka hata Mimi naelekea kuhamia.Oh basi sawa ngoja tukae mkao mpya wa kusikiliza remix ya 'sisiem mbele kwa mbele'
Na usipokuwa na kadi yao tegemea kusumbuliwa sana na takukuru, na kesi kuwa sio raia, hii ndo tz yetu iliyobarikiw maajabu ya kila Namna, bt all in all ukitenda jema litazaa tuu, na ukitenda baya pia litazaa tuu, it's a matter of time.AMEENDA INAPOPATIKANA GREASE, TUENDAKO ITAKUWA AMRI KUWA NA KADI YA CCM NA KUNA HATARI HATA WALE JAMAA ZETU WAKIKUKAMATA KAMA HUNA HIYO KADI IMEKULA KWAKO.
HILO HALITOTANGAZWA BALI MATENDO YATAONYESHA NA DUNIA HAITOJUA...
ha ha ha hama tu maana upinzani wameishiwa sera wanachokijua tu ni kususia uchaguzi,hama au usiwe mshabiki wa chama chochote itapendeza zaidi.Usiwe na shaka hata Mimi naelekea kuhamia.
Kuunga juhudiView attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
