Tena wenye chukizo mbele za MunguCCM na wadhambi ni sawa na Dada na Kaka
Kamfuata mvuta bangi mwenzake Wema Sepetusi nasikia teja wa ngada siku hizi, au??
hahaha a!Kamfuata mvuta bangi mwenzake Wema Sepetu
Hahahahaha! Ccm Ina laana mkuu ndio maana nchi haiendeleiMungu alishampiga laana huyu mama kitambo sana , ndio maana akmuondolea kipawa cha kuimba , akambakishia mafunzo ya mgambo tu , uliona wapi kwata kwenye nyimbo za injili ?
Ukijihusisha na ccm tu ni kama kujimaliza mbele ya Mungu .
Kaamua kumtumikia shetani.Huyu kazi ya Mungu haiwezi hata kidogo.
Eeee bhana wapi hiyo , chimwaga ?Kaamua kumtumikia shetani.View attachment 655330
Chimwaga hiyo babaEeee bhana wapi hiyo , chimwaga ?
Ama kweli ccm nambari 1Chimwaga hiyo baba
Ni zaidi ya shetani kwa sasaKaamua kumtumikia shetani.View attachment 655330