Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Toka awe teja wa ngada naona na muziki wake nao umepotea. Bora akimbilie tu CCM ili kuchukua mikoba ya Komba.
Natabiri tu, Rose Mhando kuja kuchumbiwa na Chid Benz.
Huyu ni mjanja sababu anajua atasaidiwa kuliko Wema aliyekimbilia chadema. Naichukia sana ccm lakini nikiona mtu mwenye matatizo kama huyo rise anaenda ccm namuona ana akili kuliko kwenda chadema ambako utajimaliza.
 
jambo zuri! Nafasi ya Marehemu Capt. Komba iko wazi nadhani!
 
Is that even a news? Naona hadhi ya jamiiforums imushuka sana
 
Tanzania ya wote ndugu yangu umesahau CHADEMA walifanya press conference yavkumkaribisha mvuta bangi wema ama hukuliona hilo?
Chadema imetoka wapi tena?
afu Wema sasa hivi mwanachama wa chama gani vile??
 
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
Kwani alikuwa chama gani kabla, na
jee, huko ccm walikuwa wanamuhitaji Sana ? Au Ana impact gani mfano. Nini kitaongezeka kwa kujiunga kwake na asingejiunga pangepungua nini ?
By the way who is this?
e1f35200d458285e5bde609bf2a614a4.jpg
 
2017-12-19_19.18.58.jpg
CCM ni sawa na Devil worship! Literally, hivi Wakristo safi na Waislamu safi waloko CCM wanajisikiaje? Kupokea kadi ya CCM kunatofauti gani na kpokea chapa ya 666?
 
Mpiga hela kaona bolingo zake hazilipi siku hizi watu washamshtukia, kaamua kuonyesha true colors
 
Back
Top Bottom