Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Kujiunga ccm imekuwa fashion hyo rose mhando alishakwisha kisanii amerudi ccm kutafuta kiki tu!
Sawa amejiunga ccm ngoja tuone hko mbeeleni

Ova
 
Huyu si tuliambiwa amekuwa TEJA siku hizi hadi ikapelekea akabakwa. Duh!! CCM imekuwa kimbilio la MATEJA bado na Ray C, Chid Benz na yule Nando wa Big Brother tutasikia wanajiunga na CCM.
Wafuasi wa mwampamba hao
 
Back
Top Bottom