Basi kuanzia sasa marufuku kusikiliza nyimbo zake na mimi. Na mcd yake naichoma au kuifuta kuanzia leo
hapo kuna ka fact.Siyo dini na siasa bali ni nyimbo na siasa kwani kuna dini hapo..!!
Alikuwa chama gani?
kweli. maana saijamwona mdaYupo sana ila vyuma vimekaza na kujiunga ccm ni kuweka grisi vyuma visije kuvunjika!
Anataka apewe nafasi ya marehemu Komba.View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
Chama ya mtu na Mkwe wakeKwani alikuwaga chama gani kabla?
Kwani mwanzo alikuwa chama gani?View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
pombe hizi..huo utoto huuBasi kuanzia sasa marufuku kusikiliza nyimbo zake na mimi. Na mcd yake naichoma au kuifuta kuanzia leo
looserView attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
Mungu alishampiga laana huyu mama kitambo sana , ndio maana akmuondolea kipawa cha kuimba , akambakishia mafunzo ya mgambo tu , uliona wapi kwata kwenye nyimbo za injili ?View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.