Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Naona hii post hujaielewa sababu Candid Scope hajaweka source yake.
Na wewe ungekuwa msomaji mzuri, ungekuwa na taarifa ya Forbes Most Influential Women in Africa. Tanzania imetoa two women, mmoja wapo ni Halima Mdee.
Forbes wanafahamu ukilaza wa Migiro ndio maana hawakumweka.
Ila tafadhali tuambie jambo hata moja la maana alilofanya Migiro kwa ujasiri wake. Tusaidie ili tusiwe tunamwona muuza sura tu kumbe mpambanaji.
na labda mwanamke kama huyu Mdee angepata nafasi ile adimu na ya pekee katika historia ya wanawake katika Umoja wa Mataifa huenda angeweza kuingia bora 100 kwa miaka aliyokaa Migiro United Nation.
Over at the United Nations, Dr. Asha-Rose Migiro of Tanzania took office as deputy secretary-general, becoming the first African woman to assume the No. 2 spot at the international organization. With a broad mandate to expand the voice of the developing world, Migiro has the bona fides, having served as Tanzania's first female foreign minister. Prior to that post, she worked at giving free legal aid to women, children and the poor.
More firsts may be on the way. In Argentina, it's expected that Cristina Fernandez de Kirchner, first lady
- Ok tuwe fair, tuanze na elimu zao zikoje Elimu ya Halima Mdee na Dr. Migiro? Mleta mada elimu zao vipi? Maana najua DR. Migiro ameweka record ambayo haijavunjwa kwenye kila Chuo Kikubwa alichosoma, kuanzia Bongo mpaka Germany, vipi Halima Mdee kielimu yukoje and then tuingie kwenye mengineyo kama vipi!
le mutuz
Pamoja na kuwa na Elimu kubwa mbona alitimuliwa huko UN Kama wewe ulivyofukuzwa USA kwasababu ya ukuwadi wako uliokidhiri- Ok tuwe fair, tuanze na elimu zao zikoje Elimu ya Halima Mdee na Dr. Migiro? Mleta mada elimu zao vipi? Maana najua DR. Migiro ameweka record ambayo haijavunjwa kwenye kila Chuo Kikubwa alichosoma, kuanzia Bongo mpaka Germany, vipi Halima Mdee kielimu yukoje and then tuingie kwenye mengineyo kama vipi!
le mutuz
Pamoja na kuwa na Elimu kubwa mbona alitimuliwa huko UN Kama wewe ulivyofukuzwa USA kwasababu ya ukuwadi wako uliokidhiri
Jee, mke wako naye kafunikwa na Halima Mdee?
Hivi kweli kwenye diplomatic career ya Asha-Rose Migiro, huoni mazuri yoyote aliyofanya zaidi ya yale yanayoweza kukuridhisha nafsi yako? Dude you must have some serious problems, na sijui ni vigezo au juhudi gani alivyofanya Halima Mdee ambavyo vinakufanya hadi umuweke juu zaidi ya mkeo.
- Ok tuwe fair, tuanze na elimu zao zikoje Elimu ya Halima Mdee na Dr. Migiro? Mleta mada elimu zao vipi? Maana najua DR. Migiro ameweka record ambayo haijavunjwa kwenye kila Chuo Kikubwa alichosoma, kuanzia Bongo mpaka Germany, vipi Halima Mdee kielimu yukoje and then tuingie kwenye mengineyo kama vipi!
le mutuz
Unazungumzia Elimu au VYETI? Maana kuna Kuelimika na Kuhudhuria darasani na hata kuelimika haitoshi tunataka tuone output ya hiyo elimu.
Mfano tuna Raisi amabaye dr.dr.dr.dr.dr. Wa Uchumi lakini maisha bongo is unaona yanapaaa!weyewe mnasema Uchumi unapaa!
For real, Asha Rose Migiro alichemka UN. Tunaweza kumpamba pamba kama kawaida yetu kwamba ooh ni mwanamke, wanawake wakiwezeshwa wanaweza n.k lakini ukweli tusioambiwa na viongozi wetu kwamba alichemka hatutakaa tuusikie. Angekuwa amefanya la maana bila hiyana angepewa nafasi nyingine. Labda nyinyi mnaojaribu kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa mtuambie alifanya nini cha maana UN mpaka wakaona amefunika wakaamua akapumzike kwa kazi nzuri aliyoifanya!!
Embu tuache porojo she is failure FULL STOP.
Why Dr. Migiro lost her UN job | Vox Media | Get Informed, Inform others
- People unamfunika vipi mtu ambaye hata elimu hufanani naye? DR. Migiro ameweka record ambayo haijavunjwa kwenye kila Chuo kikubwa alichosoma kuanzia bongo mpaka Germany, sasa Halima Mdee ameweka wapi record ya elimu? Kama hakuna kubalini kusudi twende kwenye vigezo vingine lakini kwana tukubaliane kwamba kielimu Halima Mdee na Dr. Migiro ni mbali sana hakuna mfano kabisaa! au mnasemaje?
- I mean ya Dr. Jk hapa hayahusu fungua thread yake kama vipi, one thing at a time au?
le mutuz
- Kwa sababu imeandikwa na wazungu hata bila facts ni ukweli, poleni sana!!
le mutuz
Aisee! Rose Migiro vs Halima Mdee ni sawa na Range Rover vs. Toyota.
Sasa kama ni Halima Mdee vs mkeo, nadhani hii itakuwa Toyota vs San-Lg.
Ok. Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri, kigezo ulichotumia hapo juu kuwalinganisha Asha-Rose Migiro na Halima Mdee ni "kiwango cha kutambulika kimataifa", au siyo?
La ajabu, hujaweka wazi mlinganisho wako wa wahusika hao wawili kutumia kigezo kama hicho, na hitimisho lako linaloendana na kigezo chako, zaidi ya kukiri kwamba Halima Mdee ni zaidi ya mkeo!
Kwa ufupi ujipange upya mkuu! Weka kwanza relevant analysis yako ya wahusika kulingana na vigezo au kigezo ulichoamua kutumia pamoja na ushahidi uliyo nao, ikifuatiwa na conclusion statement husika,siyo kukurupuka tu, sawa?
- People unamfunika vipi mtu ambaye hata elimu hufanani naye? DR. Migiro ameweka record ambayo haijavunjwa kwenye kila Chuo kikubwa alichosoma kuanzia bongo mpaka Germany, sasa Halima Mdee ameweka wapi record ya elimu? Kama hakuna kubalini kusudi twende kwenye vigezo vingine lakini kwana tukubaliane kwamba kielimu Halima Mdee na Dr. Migiro ni mbali sana hakuna mfano kabisaa! au mnasemaje?
- I mean ya Dr. Jk hapa hayahusu fungua thread yake kama vipi, one thing at a time au?
le mutuz