Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
-
- #21
First thing first. Mimi sio mstaarabu na vilevile sio great thinker, but I don't afraid to give people a piece of my mind. This thread of yours stinks for the following reasons.
- Kama unaleta mada akikisha kuwa kichwa cha mada na kile unachotaka kusema vinaendana. Kina Tundu Lisu and Lipumba wamefuata nini?
- Vilevile akikisha mada yako ni kamili. Michango ya watu haiji kukamilisha mada kwani sio lazima tuchangie.
- Pia ni lazima ufananishe vitu vinavyofanana, andazi kwa andazi
- n.k n.k n.k
First thing first. Mimi sio
mstaarabu na vilevile sio great thinker, but I don't afraid to give
people a piece of my mind. This thread of yours stinks for the following
reasons.
- Kama unaleta mada akikisha kuwa kichwa cha mada na kile unachotaka
kusema vinaendana. Kina Tundu Lisu and Lipumba wamefuata nini?- Vilevile akikisha mada yako ni kamili. Michango ya watu haiji
kukamilisha mada kwani sio lazima tuchangie.- Pia ni lazima ufananishe vitu vinavyofanana, andazi kwa andazi
- n.k n.k n.k
Ok. Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri, kigezo ulichotumia hapo juu kuwalinganisha Asha-Rose Migiro na Halima Mdee ni "kiwango cha kutambulika kimataifa", au siyo?
La ajabu, hujaweka wazi mlinganisho wako wa wahusika hao wawili kutumia kigezo kama hicho, na hitimisho lako linaloendana na kigezo chako, zaidi ya kukiri kwamba Halima Mdee ni zaidi ya mkeo!
Kwa ufupi ujipange upya mkuu! Weka kwanza relevant analysis yako ya wahusika kulingana na vigezo au kigezo ulichoamua kutumia pamoja na ushahidi uliyo nao, ikifuatiwa na conclusion statement husika,siyo kukurupuka tu, sawa?
Tukiondoa mapenzi kibubusa na siasa ukweli ni kwamba Asha Migiro alichemsha. Maana kama angefanya kazi vizuri haikuwapo haja ya kumuondoa kwenye unaibu katibu mkuu kabla ya katibu mkuu kumaliza muda wake. Nafasi hii ingetokea zama za Salim Ahmed Salim stori ingekuwa nyingine. Mlitegemea chaguo la bwana dhaifu liwe bora wakati anachagua watu wake kutokana na sababu anazojua mwenyewe? Hata apigiwe debe vipi hawezi kuwa rais wa Tanzania simply because ni mwanamke. Tumejifunza toka kwa Anna Makinda ambaye alitumiwa na mafisadi kumpiga kibuti Samuel Sitta baada ya kuruhusu bunge kuwa bunge badala ya genge la sasa la CCM ukiachia mbali wapinzani kuzidiwa namba.
Aisee! Rose Migiro vs Halima Mdee ni sawa na Range Rover vs. Toyota.
Sasa kama ni Halima Mdee vs mkeo, nadhani hii itakuwa Toyota vs San-Lg.
Unaweza kunisaidia labda mada yako ilikuwa ina maana nyingine kwa sababu haya maelezo ni kutoka Forbes Magazine.
Wewe acha hizo za hawezi kuwa rais sababu ni mwanamke. That's primitive!
Ni sawa na kusema mwanaume fulani hawezi chaguliwa urais sababu mafisadi papa wote ni wanaume.
Huyu mama mhukumu kwa ukilaza wake na si kwa jinsia yake.
Mkuu, bora umemuuliza hili swali,manake Halima Mdee nani anayemjua katika medani za Kimataifa??? Mimi naona hii mada ni upuuzi tu! Huwezi kumlinganisha Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa UN na Mbg. wa Kawe. Hivi ni vichekesho!
Kwa miaka karibu mitano nimekuwa nikikodolea macho list ya wanawake bora na maarufu duniani kwa kiwango cha kimataifa, pamoja na Rose Migiro kushika nafasi pekee akiwa kama mwanamke wa kwanza UNO kuparamia kiti hicho, lakini hakubahatika hata kushika nafasi ya 100 kati ya 100 bora. Nilijiuliza na kuishia kukaukiwa cha kuandika na kusubiria nafasi nyingine kwa mwaka unaofuata hadi ilipofikia kutompa nafasi kwa ingwe nyingine.
Halima Mdee, hajashika nafasi pekee serikalini zaidi ya ubunge kutoka kambi ya upinzani, lakini bungeni alivyoonyesha ushupavu usio wa kawaida hadi kuwashikisha adabu viongozi waandamizi serikalini imeleta matumaini mapya hadi kushuhudiwa na dunia ambayo imempa tuzo stahiki, na labda mwanamke kama huyu Mdee angepata nafasi ile adimu na ya pekee katika historia ya wanawake katika Umoja wa Mataifa huenda angeweza kuingia bora 100 kwa miaka aliyokaa Migiro United Nation.
Mkuu, bora umemuuliza hili swali,manake Halima Mdee nani anayemjua katika medani za Kimataifa??? Mimi naona hii mada ni upuuzi tu! Huwezi kumlinganisha Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa UN na Mbg. wa Kawe. Hivi ni vichekesho!
Hivi kweli kwenye diplomatic career ya Asha-Rose Migiro, huoni mazuri yoyote aliyofanya zaidi ya yale yanayoweza kukuridhisha nafsi yako? Dude you must have some serious problems, na sijui ni vigezo au juhudi gani alivyofanya Halima Mdee ambavyo vinakufanya hadi umuweke juu zaidi ya mkeo.
Ndio maana kafananishwa kibongobongo, cha muhimu ni kufananisha exposure yake na mambo aliyoyafanya. Mbona ni hesabu ndogo sana
First thing first. Mimi sio mstaarabu na vilevile sio great thinker, but I don't afraid to give people a piece of my mind. This thread of yours stinks for the following reasons.
- Kama unaleta mada akikisha kuwa kichwa cha mada na kile unachotaka kusema vinaendana. Kina Tundu Lisu and Lipumba wamefuata nini?
- Vilevile akikisha mada yako ni kamili. Michango ya watu haiji kukamilisha mada kwani sio lazima tuchangie.
- Pia ni lazima ufananishe vitu vinavyofanana, andazi kwa andazi
- n.k n.k n.k
Kwa uchambuzi yakinifu hizi hesabu hazitalingana! hiyo mbona ni mantiki ndogo tu.
Ndjabu Da [COLOR=#ff0000 said:Dude[/COLOR];5439885]Jee, mke wako naye kafunikwa na Halima Mdee?