Rose Mhando huwa namkuta kituo cha Mwanamboka Kinondoni

Wewe ndio huwajui watu alafu nakusikitikia sana..sababu hao unaowazushia wana uwezo wa kukufunga.
Wewe ni bora ukae kimya tu, sababu hao kina Lwakatare huwajui!


Mbona povu kwa kuambiwa ukweli au wewe ndio unawapa dili?
 
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....

OVA
Kwa muda mrefu kuns rumars kwamba Rose Muhando teja!!!!sijui kk makonda hajaskua uvumi huu
 
habari bila picha ni sawa na kunywa pombe bila kulewa hainogi,raha ya pombe kulewa
images
 
Kama ni uzushi au unaandika habari za kuambiwa zisizo na uhakika tambua unajipa laana wewe na kizazi chako, na siku ya mwisho utalipia, hakikisha umeandika kitu ulicho na uhakika nacho, hata hivyo yeye pia niwanadamu kama mimi na wewe tunaweza kupotea tu
Yule hana tofaut na nandi..mziki biashara
 
Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?

manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba

huko makanisani kuna nini?
ndio maana binafsi huwa naamini MUNGU na SHETANI ni maswahiba zaidi ya tunavyopotoshwa...
 
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....

OVA
We huwa unaenda kuyfanya nini?
 
Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Nimesoma comment nyingi humu jf ila sijawahi kukutana na comment Tata Kama hii hat off to you sir
 
Hahaha, unakuta MTU anayebisha anaishi huko Chato hata Dar haijui
Ndomana siku hzi tumeamua kusugua hatuleti habari wala kushusha nondo
Maana isije ikawa balaaa
Unaweza leta kitu positive badaye ikakugeukia ikawa negative

Ova
 
Hili jina nikilisikia au kuliona huwa nahisi hasira sana, sipendi mtu anayeleta mzaha na dini za watu.
 
Back
Top Bottom