Umefanikiwa kuroot?


  • Total voters
    23
Kuna sumsung s8+ imefikia ukomo wa update imeishia adroid 10 hiv nikiroot inaweza ku update to adroid 12 ushaur jaman na kama inawezekana nahitaji mtaalamu wa kuroot
Root kisha install custom rom ya lineage os v19
 

Download iyo app ucheki kama umetripp knox,share screenshot
View attachment 1989608View attachment 1989610
.
Screenshot_20211028-135543_Knox%20Status.jpg
 
Knox yako iko tripped huwezi kutumia apps ambazo ziko related na knox kama samsung pass n.k.
Hua ni fuse inablow pale code Tofauti inapoingizwa kwenye sim wakati wa boot inatripp iyo knox.
Kuna namna ya kureset kwa custom kernel lakini ni very complicated kuilekeza.
Cha msingi achana na apps za samsung zenye uhusiano na knox.
Pamoja mkuu
 
😂😂😂 basi tu hayo mambo ukilikoroga tu andaa pesa ya simu mpya
Ukiharibu, ukaendelea kuharibu mpaka sim ikaharibika kabisa inatakiwa upewe cheti cha pongezi maana sio rahisi kama unafata hatua zote kwa umakini
 
Back
Top Bottom