Root at your own risk

Root at your own risk

Bila kuharibu huwezi jua kutengeneza, binafsi nilikuwa sijui ku root nikufanya nini lkn hadi sasa hunidanganyi ktk hilo swala, na niki bug tu na washa pc yangu naflash au ni rudisha rom yangu kwa twrp.
Nime modify simu yangu iwe na app ninazotaka mimi, now na enjoy tu.
Simu bila ku iroot kwangu ni ugonjwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom