STEP BY STEP: Namna ya ku-ROOT vodafone smart tab 3G (VFD 1100)

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,449
2,924
NOTE #1: Kuroot simu yako/tablet yako ni risk, na unaweza kuiharibu kabisa.
NOTE #2: Sitawajibika kama kwa namna moja ama nyingine utaharibu simu yako.
NOTE #3: ROOT AT YOUR OWN RISK

Sasa tuendelee
FANYA BACKUP YA VITU VYAKO VYA MUHIMU IKWA MAMBO YATAENDA KOMBO, USIVIPOTEZE


MAHITAJI
NOTE, extract mafaili yote utakayo download sehemu yoyote utakayoweza kuifikia kwa urahisi, kasoro lile la superuser.zip

  • Computer yenye windows 7/8/8.1/10
  • USB cable




Namna ya kuinstall hiyo driver
Right-click my-computer
Click Manage
Click Device Manager
Click jina la PC yako then click Add Legacy hadware, check picha
Install-USB-Preloader-VCOM-Drivers.png

Then kwenye Add Hardware Wizard click sehemu ya
>>Next
>> Install the Hardware that i manually select from a list (Advanced)
>> Show All Devices
>> Next
>>Have a Disk
>> Browse,

>>Then chagua file moja katika yale uliyo ya extract
Installing-USB-VCOM-Drivers.png

>>click next >>install anyway (kama itatokea security pop-up)
>>Then after click finish alafu RESTART compuetr yako


FLASH TWRP
  1. Fungua folder ulipoextract SPFT tafuta fie limeandkwa flash_tool right click the RUN as ADMINISTRATOR
  2. Ikitokea pop-up iignore na click ok
  3. Nenda sehemu imeandikwa scatter loading then weka lile file la MT6580 uliloextract
  4. select sehemu imeandikwa recovery kwenye kibox kidogo pembeni yake
  5. then kwa upande wa kulia wa huo msitari wa recovery click hiyo empty space alafu itatokea pop-up then utalocate lile folde la TWRP then utaweka file la recovery.img
  6. zima simu yako subiri dakika 2 then click sehemu imeandikwa download kwa upande wa juu, then connect simu yako kwenye computer kwa USB cable
  7. subiri download imalize, then utaona bar nyekundu, then ya green bar inayokupa confirmation ya kuwa imefanikiwa

Ku-ROOT
  • Ile superuser.zip file iweke kwenye memory card
  • reboot simu yako kwenye recovery mode (izime then bofya button zote tatu ya power vulume up na volume down kwa wakati mmoja) au unaweza kugoogle kureboot kwenye recovery mode kwa kutumia ADB tool
  • then ukifika kwenye recovery screen click sehemu imeandikwa install then browse sehemu umeweka ile superuser.zip kwenye memory card yako, iselect hiyo file
  • then hapo utaona sehemu imeandikwa swipe to flash, utaswipe hapo, then utasubiri
  • ikimaliza utareboot simu yako
  • then download phh super user app kutoka google au tafuta SuperSU kutoka playstore.
  • hapo utakua umemaliza



KAMA UKIKWAMA USISITE KUNIULIZA , I WILL BE HERE TO HELP


  • ENJOY MAISHA YA URAIANI KUTOKA KWENYE KIFUNGO CHA GOOGLE.:cool:|
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom